Sabaya ana tofauti gani na Makonda?Mimi ni mwanaCCM ila Sabaya hapana. Mbowe hapa kateleza sana. Sabaya ana maovu mengi ambayo hayakufika kwenye media au mahakamani. Huyo kijana kavuruga sana maisha ya watu wengi wilayani Hai. Alikuwa mnyama. Msamaha ungekuwa halali kama angekuwa gerezani. Sabaya alikuwa mhalifu 100%.
Sikubaliani na wewe unaposema Lissu anaangalia short term goals.Either huwa haumusikilizi Lissu,au huwa unachagua kusikiliza yanayokufurahisha tuHapana. Mbowe ni mwanasiasa bora kuliko Lissu. Lissu anaangalia short term goals. Ni mtu ambae ana ongozwa na emotions wakati Mbowe ni strategic na cold blooded. Lissu angeshika madaraka badala ya Mbowe, Chadema ingeishia kuwa kama DP ya marehemu Mtikila. Watu mnataka kutuaminisha kuwa CCM na serikali yake ziliikumbatia Chadema ya Mbowe wakati ukweli ni kuwa Chadema ya Mbowe ilishughulikiwa kuliko chama kingine chochote cha siasa by far. Viongozi wake ( wakiwemo Lissu na Heche) walipitia moto mkali lakini kiongozi wao hakuteteleka. Mnasahau reaction yake Lissu alipopigwa risasi? Walipofungwa Heche alisema kuwa alikataa kutoka jela mpaka baada ya wenzake wote kutoka. Sasa tuangalie hali ilivyo wakati wa Lissu. Ni Lissu peke yake aliyeko ndani. Wengine wote ( wakina Rupia n.k.) wanaishia mahabusu halafu wanaachiwa. Hivi toka wameruhusiwa kufanya siasa ni kitu gani cha maana zaidi ya kufanya presa? Wamefanya mikutano ya hadhara mingapi? Wametangaza maandamano mangapi?
Ni viongozi wachache sana wa Chadema, Bawacha na Bavicha tunaowasikia wakipinga yanayoendelea wakiwa ndani ya nchi ukilinganisha na wakati wa Mbowe. Wakati ule wakina Ruge, Husna, Kiwanga, Mnyika, Heche, Halima, yule kijana wa Iringa, Rose Mayemba ( mahabusu kulikuwa kwake) n.k. walikuwa hawapoi. Rose Mayemba wa sasa sio wa wakati wa Mbowe.
Yote hayo lakini bado mnadiriki kusema Mbowe akiwachelewesha?
Amandla...
Hiyo unayoona ni nguvu ya Mbowe ndio ulipokuwa udhaifu wa cdm. Kiongozi aliyejiugeuza kuwa ndio taasisi huoni tatizo. Hao unaowataja walifanya maandamano na mikutano chama kikiwa kimezuiwa kufanya siasa? Au walikuwa wanafanya mikutano na maandamano kila baada ya wiki 2?Hapana. Mbowe ni mwanasiasa bora kuliko Lissu. Lissu anaangalia short term goals. Ni mtu ambae ana ongozwa na emotions wakati Mbowe ni strategic na cold blooded. Lissu angeshika madaraka badala ya Mbowe, Chadema ingeishia kuwa kama DP ya marehemu Mtikila. Watu mnataka kutuaminisha kuwa CCM na serikali yake ziliikumbatia Chadema ya Mbowe wakati ukweli ni kuwa Chadema ya Mbowe ilishughulikiwa kuliko chama kingine chochote cha siasa by far. Viongozi wake ( wakiwemo Lissu na Heche) walipitia moto mkali lakini kiongozi wao hakuteteleka. Mnasahau reaction yake Lissu alipopigwa risasi? Walipofungwa Heche alisema kuwa alikataa kutoka jela mpaka baada ya wenzake wote kutoka. Sasa tuangalie hali ilivyo wakati wa Lissu. Ni Lissu peke yake aliyeko ndani. Wengine wote ( wakina Rupia n.k.) wanaishia mahabusu halafu wanaachiwa. Hivi toka wameruhusiwa kufanya siasa ni kitu gani cha maana zaidi ya kufanya presa? Wamefanya mikutano ya hadhara mingapi? Wametangaza maandamano mangapi?
Ni viongozi wachache sana wa Chadema, Bawacha na Bavicha tunaowasikia wakipinga yanayoendelea wakiwa ndani ya nchi ukilinganisha na wakati wa Mbowe. Wakati ule wakina Ruge, Husna, Kiwanga, Mnyika, Heche, Halima, yule kijana wa Iringa, Rose Mayemba ( mahabusu kulikuwa kwake) n.k. walikuwa hawapoi. Rose Mayemba wa sasa sio wa wakati wa Mbowe.
Yote hayo lakini bado mnadiriki kusema Mbowe akiwachelewesha?
Amandla...
Hajamsamehe bali ametoa lugha za kisiasa. Amesema hivyo ili aonekane ni mwanasiasa mvumilivu, lakini ukweli hata asingemsamehe hana cha kumfanya. Ilitakiwa awe na madaraka tupime msamaha wake.Mimi ni mwanaCCM ila Sabaya hapana. Mbowe hapa kateleza sana. Sabaya ana maovu mengi ambayo hayakufika kwenye media au mahakamani. Huyo kijana kavuruga sana maisha ya watu wengi wilayani Hai. Alikuwa mnyama. Msamaha ungekuwa halali kama angekuwa gerezani. Sabaya alikuwa mhalifu 100%.
Sijui kama umeelewa Mbowe alivyosema "kuna maisha nje ya siasa"Mbowe aliichelewesha chadema kufikia malengo! Safu yake ya takataka kama Yericko Nyerere ulikuwa ni uchafu ulijificha kwenye kivuli cha upinzani kumbe ni njaa ya pesa
NI haki yao. Na hawakuanza kuhama leo.Viongozi wengi wa zamani wa CHADEMA ya Mbowe sasa hivi wako CCM au CHAUMA,
Ongea kama msomi. Angemuuzia nani hizo akaunti? Wao waliondoka lakini walioingia hawakuwa na passwords za ku access zile akaunti. Lakini kwa namna walivyomfanyia Mrema walishindwa kumuomba.Tumaini Makene na John Mrema waliuza akaunti zote za mitandao ya kijamii ya CHADEMA,
Kwani uongo? Hata Mkutano Mkuu wa mwaka jana bila milioni 250 alizotoa usingefanyika. Haya aliyasema Katibu Mkuu wa Chadema.pia Mbowe alisema mambo mengi ya CHADEMA alikuwa akiyafanikisha kwa pesa zake na 'marafiki zake',
Sio uongo. Ndio maana Chadema ya sasa inapata shida kutoa taarifa za mapato na matumizi kama walivyo ahidi. Watanzania ni wachangaji wazuri wa tukio lakini sio kwenye mambo endelevu. Bahati mbaya hata uongozi wa sasa wanapenda mambo ya kifahari. Wote wanapenda ma Vieti. Tofauti ni kuwa Mbowe alikuwa ananunua mnadani, wao tutaona wananunua wapi.itachukua muda CHADEMA kujijenga kama taasisi inayotegemea wanachama zaidi katika baadhi ya mambo.
Namsikiliza sana. Mtu yeyote mwenye kufikiri alijua hamna jinsi CCM wangekubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi. Na wasingekubali kuahirisha uchaguzi. Angekuwa mwenye mtazamo wa mbali ange focus kwenye uchaguzi wa 2030 na kujipanga kuhakikisha kuwa Katiba Mpya na mfumo mzima wa uchaguzi unafumuliwa kabla ya 2028. Njia ya kufanya hivyo ni kuingiza wabunge wake bungeni na kupata ruzuku ya kutosha kupiga kampeni nchi nzima. Wale walioenda Chaumma walitambua hilo lakini Lissu ali focus kwenye 2025. Na matokeo yake tumeyaona.Sikubaliani na wewe unaposema Lissu anaangalia short term goals.Either huwa haumusikilizi Lissu,au huwa unachagua kusikiliza yanayokufurahisha tu
Changia ToneTone japo kwa Tsh 2,000 siyo kulialia humu tuViongozi wengi wa zamani wa CHADEMA ya Mbowe sasa hivi wako CCM au CHAUMA, Tumaini Makene na John Mrema waliuza akaunti zote za mitandao ya kijamii ya CHADEMA, pia Mbowe alisema mambo mengi ya CHADEMA alikuwa akiyafanikisha kwa pesa zake na 'marafiki zake', itachukua muda CHADEMA kujijenga kama taasisi inayotegemea wanachama zaidi katika baadhi ya mambo.
Chaumma na ACT ya Luhaga Mpina wamepata wabunge wangapi kwa kushiriki uchaguzi mkuu??Namsikiliza sana. Mtu yeyote mwenye kufikiri alijua hamna jinsi CCM wangekubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi. Na wasingekubali kuahirisha uchaguzi. Angekuwa mwenye mtazamo wa mbali ange focus kwenye uchaguzi wa 2030 na kujipanga kuhakikisha kuwa Katiba Mpya na mfumo mzima wa uchaguzi unafumuliwa kabla ya 2028. Njia ya kufanya hivyo ni kuingiza wabunge wake bungeni na kupata ruzuku ya kutosha kupiga kampeni nchi nzima. Wale walioenda Chaumma walitambua hilo lakini Lissu ali focus kwenye 2025. Na matokeo yake tumeyaona.
Amandla...
Chadema ilipata mbunge mmoja katika uchaguzi wa 2020. Huyo mmoja tu alilisumbua sana bunge la CCM. Kura walizopata katika uchaguzi ule (ingawa walipunjwa) ziliwapa ruzuku ambayo baada ya kukubali kuipokea iliwawezesha kununua jengo walilofanya Makao Makuu yao, kukarabati makao yao ya zamani na kuendesha shughuli za chama chao.Chaumma na ACT ya Luhaga Mpina wamepata wabunge wangapi kwa kushiriki uchaguzi mkuu??
CHADEMA iliposhirikia uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 ilipata matokeo gani??
Kama CCM hawakutaka na hawakuleta katiba mpya kabla ya 2025 ni kinakufanya uamink wataleta katiba mpya au tume huru ya uchaguzi kabla ya 2030?
Akili yako imeharibiwa na siasa za kupenda na kufikiria ruzuku tu, kila ukiongea ni ruzuku tu, CHADEMA wala haina hata shida ya ruzuku bali uwanja sawa na uhuru wa kufanya siasa.Chadema ilipata mbunge mmoja katika uchaguzi wa 2020. Huyo mmoja tu alilisumbua sana bunge la CCM. Kura walizopata katika uchaguzi ule (ingawa walipunjwa) ziliwapa ruzuku ambayo baada ya kukubali kuipokea iliwawezesha kununua jengo walilofanya Makao Makuu yao, kukarabati makao yao ya zamani na kuendesha shughuli za chama chao.
Chaumma na Act ya Semu zina wabunge na zinapata ruzuku ambazo wanatumia kujitayarisha kwa ajili ya chaguzi za 2029 na 2030. Sigrada kila kukicha yuko jimboni mwake akipigania watu wake. Na akitoka kule anaendeleza mapambano Bungeni. Ado Shaibu hivyo hivyo. Wakati huo Chadema platform waliyokuwa nayo ni presa. Wanashindwa hata kufanya sherehe zao
CCM wataleta Katiba Mpya kabla ya 2028 kama ambavyo walileta Tume Huru ya Uchaguzi. Kazi kubwa inayovikabili vyama vya upinzani ni kuishinikiza CCM wapitishe Katiba Mpya kweli na sio ya kiini macho kama walivyofanya kwenye Tume ya Uchaguzi. Ili kufanikisha hilo wanahitaji kuwa kila mahali (bungeni, miatandaoni na kwenye vitongoji) na kushirikiana kama walivyofanya wakati wa Ukawa. Shida ni kuwa ni wachache sana watakuwa tayari kushirikiana na Chadema ya sasa ambayo imetukana karibu vyama vingine vyote vya upinzani.
Amandla...
Hapana. Mbowe ni mwanasiasa bora kuliko Lissu. Lissu anaangalia short term goals. Ni mtu ambae ana ongozwa na emotions wakati Mbowe ni strategic na cold blooded. Lissu angeshika madaraka badala ya Mbowe, Chadema ingeishia kuwa kama DP ya marehemu Mtikila. Watu mnataka kutuaminisha kuwa CCM na serikali yake ziliikumbatia Chadema ya Mbowe wakati ukweli ni kuwa Chadema ya Mbowe ilishughulikiwa kuliko chama kingine chochote cha siasa by far. Viongozi wake ( wakiwemo Lissu na Heche) walipitia moto mkali lakini kiongozi wao hakuteteleka. Mnasahau reaction yake Lissu alipopigwa risasi? Walipofungwa Heche alisema kuwa alikataa kutoka jela mpaka baada ya wenzake wote kutoka. Sasa tuangalie hali ilivyo wakati wa Lissu. Ni Lissu peke yake aliyeko ndani. Wengine wote ( wakina Rupia n.k.) wanaishia mahabusu halafu wanaachiwa. Hivi toka wameruhusiwa kufanya siasa ni kitu gani cha maana zaidi ya kufanya presa? Wamefanya mikutano ya hadhara mingapi? Wametangaza maandamano mangapi?
Ni viongozi wachache sana wa Chadema, Bawacha na Bavicha tunaowasikia wakipinga yanayoendelea wakiwa ndani ya nchi ukilinganisha na wakati wa Mbowe. Wakati ule wakina Ruge, Husna, Kiwanga, Mnyika, Heche, Halima, yule kijana wa Iringa, Rose Mayemba ( mahabusu kulikuwa kwake) n.k. walikuwa hawapoi. Rose Mayemba wa sasa sio wa wakati wa Mbowe.
Yote hayo lakini bado mnadiriki kusema Mbowe akiwachelewesha?
Amandla...
Tanzania kuna Tume huru ya uchaguzi?!CCM wataleta Katiba Mpya kabla ya 2028 kama ambavyo walileta Tume Huru ya Uchaguzi. Kazi kubwa inayovikabili vyama vya upinzani ni kuishinikiza CCM wapitishe Katiba Mpya kweli na sio ya kiini macho kama walivyofanya kwenye Tume ya Uchaguzi. Ili kufanikisha hilo wanahitaji kuwa kila mahali (bungeni, miatandaoni na kwenye vitongoji) na kushirikiana kama walivyofanya wakati wa Ukawa. Shida ni kuwa ni wachache sana watakuwa tayari kushirikiana na Chadema ya sasa ambayo imetukana karibu vyama vingine vyote vya upinzani.
Amandla...
Chama chochote cha siasa kinahitaji fedha ili kuweza kuendesha shughuli zake. Ruzuku ni sehemu ya hizo pesa. Kwa vile Chadema haitakuwa na ruzuku kwa miaka mitano ijayo ni nafasi nzuri kuionyesha jamii namna watakavyoongoza juhudi za kupata huo uwanja sawa na uhuru wa kufanya siasa katika hali waliyokuwa nayo. 2029 sio mbali.Akili yako imeharibiwa na siasa za kupenda na kufikiria ruzuku tu, kila ukiongea ni ruzuku tu, CHADEMA wala haina hata shida ya ruzuku bali uwanja sawa na uhuru wa kufanya siasa.
Mbunge mmoja wa CHADEMA waliyepewa na Magufuli 2020 wala hakuwa na chochote cha maana bungeni, 90% ya raia hata hawakuwa wanajua kama CHADEMA wana mbunge bungeni zaidi ya wale COVID-19 waliokuwa kwenye mgogoro nao.
Tutaona. Hivi majuzi tunasikia amekubali kuingia katika mazungumzo ya Maridhiano. Hivi karibuni tumemsikia Makamu wake akimmwagia sifa kiongozi wa Covid-19 waliyekuwa wakimuita msaliti. Sijui mtasema nini mtakapo muona amekaa Ikulu akinywa kahawa na Mkuu wa nchi. Yetu macho.Lissu ni Mwanasiasa asiyeyumba. Mwenye Misimamo na Kujielewa. Mbowe anaangalia kwenye siasa anafaidika vipi na nini pia.
Nimwsema ya Yeriko Nyerere. Not. Ya Sabaya...nimechomekea tuSijui kama umeelewa Mbowe alivyosema "kuna maisha nje ya siasa"
Kuna wakati naona kabisa mindset zenu ndio zinarudisha nyuma harakati za mageuzi ya kisiasa nchi hii. Mpo kama mawe hayasogei mpaka yapigwe teke.
Mnamtaka Mbowe atengeneze uadui na Sabaya milele!! Ili iweje, itasaidia nini zaidi ya kuifanya Chadema ionekane chama cha wajuaji?
Kuna wakati inalazimu kuiweka mihemko ya kisiasa pembeni, maisha mengine lazima yaendelee.
Nenda kawaulize wao.Sabaya ana tofauti gani na Makonda?
Upumbavu mtupu!Hapana. Mbowe ni mwanasiasa bora kuliko Lissu. Lissu anaangalia short term goals. Ni mtu ambae ana ongozwa na emotions wakati Mbowe ni strategic na cold blooded. Lissu angeshika madaraka badala ya Mbowe, Chadema ingeishia kuwa kama DP ya marehemu Mtikila. Watu mnataka kutuaminisha kuwa CCM na serikali yake ziliikumbatia Chadema ya Mbowe wakati ukweli ni kuwa Chadema ya Mbowe ilishughulikiwa kuliko chama kingine chochote cha siasa by far. Viongozi wake ( wakiwemo Lissu na Heche) walipitia moto mkali lakini kiongozi wao hakuteteleka. Mnasahau reaction yake Lissu alipopigwa risasi? Walipofungwa Heche alisema kuwa alikataa kutoka jela mpaka baada ya wenzake wote kutoka. Sasa tuangalie hali ilivyo wakati wa Lissu. Ni Lissu peke yake aliyeko ndani. Wengine wote ( wakina Rupia n.k.) wanaishia mahabusu halafu wanaachiwa. Hivi toka wameruhusiwa kufanya siasa ni kitu gani cha maana zaidi ya kufanya presa? Wamefanya mikutano ya hadhara mingapi? Wametangaza maandamano mangapi?
Ni viongozi wachache sana wa Chadema, Bawacha na Bavicha tunaowasikia wakipinga yanayoendelea wakiwa ndani ya nchi ukilinganisha na wakati wa Mbowe. Wakati ule wakina Ruge, Husna, Kiwanga, Mnyika, Heche, Halima, yule kijana wa Iringa, Rose Mayemba ( mahabusu kulikuwa kwake) n.k. walikuwa hawapoi. Rose Mayemba wa sasa sio wa wakati wa Mbowe.
Yote hayo lakini bado mnadiriki kusema Mbowe akiwachelewesha?
Amandla...