Mbowe: Ole Sabaya tumshamsamehe kabisa watu wa Hai. Maisha lazima yaendelee

Mbowe ni kiongozi mzuri mwenye vision na mipango kuliko Lissu Hilo liko wazi sema kwa aina ya siasa za sasa hivi zinamuhitaji Lissu kuliko Mbowe ndio sababu wanachama wakamchagua Lissu kuwa mwenyekiti wao
Mkuu sidhani kama Mbowe ana vision kuliko Lissu, alishindwa kusoma mazingira kabisa siasa zetu zilivyoanza kubadilika kuanzia mwaka 2016 na kuwa za ubabe uliopitiliza, unyang'au na undava tu wa dola, kama angeipa pushback kidogo serikali kuanzia matokeo ya uchaguzi wa 2015 na mapema 2016, 2017 akiwa kama kiongozi wa upinzani kuna uwezekano ingesaidia kiasi kuifanya dola ya CCM kuogopa kupitiliza kwenye ubabe wake miaka iliyofuatia. Ukiangalia nyakati hizi zote Lissu tu ndio alikuwa radical na mpiga kelele mapema kabisa mpaka anakuja kupigwa risasi.
 
Mkuu Mimi sio mshabiki wa Chadema au chama chochote ila nimfuatiliaji mzuri wa siasa, kupitia vision, mipango sera zilizoanzishwa na Mbowe baada ya kuchukua kijiti cha uwenyekiti ndio imefanya Chadema kiwe na nguvu kubwa mpaka hivi Leo. Mbowe alitengeneza program ndani ya chama chakukuza vijana mbalimbali na movement ya kuieneza chama kupitia vijana kwenye taasisi ya vyuooni na hii ilileta impact ya Chadema kukubalika na vijana wengi, kupitia hiyo movement amewatoa vijana wengi wakina John Mnyika, John Heche n.k
Ukiacha hivyo alikuwa na program ya kuieneza chama kupitia diaspora alikuwa ana mikutano nao kuongea nayo nakutoa awareness ya nchi yao na ndio maana unaona diaspora wengi wanawaunga mkono Chadema.
Mkuu Mbowe amefanya vitu vingi vilivyosababishia Chadema kuwa na nguvu kubwa Mimi sio mzuri sana wakuandika sana ila hayo niliyokuambia ni machache
 
Mbowe ni mtu soft, anayependa dini zaidi na kulinda maslahi yake ya biashara na ukaribu na watawala (huenda labda kwa sababu ya historia yake, baba yake kuwa rafiki wa Nyerere na serikali na baba mkwe wake kuwa gavana wa BoT vimechangia).Hii hulka yake ni wazi imeleta mgogoro wa maslahi katika harakati zake za siasa. Aliziweza siasa vizuri wakati wa JK kwa sababu JK alikuwa akipenda zaidi siasa za hadaa za kuwapanga watu kwa mazungumzo kuliko nguvu, ilitakiwa amuachie Lissu uongozi mara tu baada ya uchaguzi wa 2015.
Nani alikuwa kiongozi wa Chadema wakati wa Magufuli? Nani alikiongoza chama chake wakati Lissu yuko in exile? Lissu amefungwa mara ngapi? Kama Lissu angeshika uongozi wa Chadema 2015, leo hii chama kikuu cha upinzani kingekuwa Act Wazalendo. Umewasikia wangapi Chadema wanaosema kuwa wamekomazwa kisiasa na Lissu? Heche, Mnyika, Halima, Zitto n.k. wote wanasema wazi kuwa mlezi wao katika siasa alikuwa Mbowe.

Hapajawahi kutokea mpambanaji dhidi ya CCM bara kama Christopher Mtikila. Mtikila alipambana bila kuwa na chama chochote cha maana cha kisiasa. Chama alichokianzisha cha DP sasa hivi kipo kipo tu. Mtikila alishindwa kukikuza chama chake kwa sababu ali antagonise karibu kila mtu ( waislamu, wahindi, matajiri, wazanzibari n.k.). Mtikila aliamini yeye ndie Alpha na Omega. Lissu angechukua uenyekiti wa Chadema 2015, Chadema leo isingekuwa tofauti na DP.

Amandla....
 
Mkuu sidhani kama Mbowe ana vision kuliko Lissu, alishindwa kusoma mazingira kabisa siasa zetu zilivyoanza kubadilika kuanzia mwaka 2016 na kuwa za ubabe uliopitiliza, unyang'au na undava tu wa dola, kama angeipa pushback kidogo serikali kuanzia matokeo ya uchaguzi wa 2015 na mapema 2016, 2017 akiwa kama kiongozi wa upinzani kuna uwezekano ingesaidia kiasi kuifanya dola ya CCM kuogopa kupitiliza kwenye ubabe wake miaka iliyofuatia. Ukiangalia nyakati hizi zote Lissu tu ndio alikuwa radical na mpiga kelele mapema kabisa mpaka anakuja kupigwa risasi.
Unadhani aliyekuwa anawapigia kifua wakina Lissu, Lema, Halima, Esther wawili, Mnyika ni nani kama sio Mbowe? Ni nani alihakikisha kuwa Lissu ndie anayekuwa mgombea wa kiti cha urais? Ni nani ambae biashara zake ziliathirika zaidi chini ya utawala wa CCM? Ni nani amekuwa akiandamwa na wale wote waliounga mkono juhudi? Kuanzia wakina Lijualikali hadi Msigwa ajenda yao kubwa ilikuwa ni Mbowe sio Lissu. Unadhani walikuwa wajinga kumuandama Mbowe badala ya Lissu? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mumpe.

Amandla...
 
Nakuongeza kwenye ignore list yangu,

Amandla...
Screenshot_20250823-084911~2.png
 
Unadhani aliyekuwa anawapigia kifua wakina Lissu, Lema, Halima, Esther wawili, Mnyika ni nani kama sio Mbowe? Ni nani alihakikisha kuwa Lissu ndie anayekuwa mgombea wa kiti cha urais? Ni nani ambae biashara zake ziliathirika zaidi chini ya utawala wa CCM? Ni nani amekuwa akiandamwa na wale wote waliounga mkono juhudi? Kuanzia wakina Lijualikali hadi Msigwa ajenda yao kubwa ilikuwa ni Mbowe sio Lissu. Unadhani walikuwa wajinga kumuandama Mbowe badala ya Lissu? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mumpe.

Amandla...
Mbowe ana sifa za kiongozi kitu ambacho Lissu Hana hili nawaambiaga sana washabiki wa Chadema huwezi wakapuuza mchango wa Mbowe kisa Lissu ni mwenyekiti wao
 
CHADEMA ilipata umaarafu mkubwa kwa sababu ya uwepo wa Slaa na Lissu, watu wanazikumbuka speech za Lissu bungeni, nje ya bunge, harakati za katiba mpya n.k ila sio rahisi kukumbuka hata speech moja ya Mbowe.
Huwezi kupuuza mchango wa Mbowe katika kukua kwa CHADEMA ila mchango wake mkubwa labda useme ni kwenye kutafuta pesa zaidi na kujua kupanga timu.
 
Unadhani aliyekuwa anawapigia kifua wakina Lissu, Lema, Halima, Esther wawili, Mnyika ni nani kama sio Mbowe? Ni nani alihakikisha kuwa Lissu ndie anayekuwa mgombea wa kiti cha urais? Ni nani ambae biashara zake ziliathirika zaidi chini ya utawala wa CCM? Ni nani amekuwa akiandamwa na wale wote waliounga mkono juhudi? Kuanzia wakina Lijualikali hadi Msigwa ajenda yao kubwa ilikuwa ni Mbowe sio Lissu. Unadhani walikuwa wajinga kumuandama Mbowe badala ya Lissu? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mumpe.

Amandla...
Sijui unamaanisha nini ukisema kuwapigia kifua,
Hakuna mtu maarufu zaidi ya Lissu kwa sasa kuweza kumshinda kugombea nafasi yoyote ndani ya CHADEMA kwa hiyo hakuna ajabu sana hapo alichofanya Mbowe kumuwezesha Lissu kugombea Urais 2020.
Biashara za Mbowe ziliathirika baada ya ujio wa jiwe lakini pia huko nyuma biashara zake zilifaidika kupitia CHADEMA.
 
Mkuu Mimi sio mshabiki wa Chadema au chama chochote ila nimfuatiliaji mzuri wa siasa, kupitia vision, mipango sera zilizoanzishwa na Mbowe baada ya kuchukua kijiti cha uwenyekiti ndio imefanya Chadema kiwe na nguvu kubwa mpaka hivi Leo. Mbowe alitengeneza program ndani ya chama chakukuza vijana mbalimbali na movement ya kuieneza chama kupitia vijana kwenye taasisi ya vyuooni na hii ilileta impact ya Chadema kukubalika na vijana wengi, kupitia hiyo movement amewatoa vijana wengi wakina John Mnyika, John Heche n.k
Ukiacha hivyo alikuwa na program ya kuieneza chama kupitia diaspora alikuwa ana mikutano nao kuongea nayo nakutoa awareness ya nchi yao na ndio maana unaona diaspora wengi wanawaunga mkono Chadema.
Mkuu Mbowe amefanya vitu vingi vilivyosababishia Chadema kuwa na nguvu kubwa Mimi sio mzuri sana wakuandika sana ila hayo niliyokuambia ni machache
Aina ya uongozi wa Mbowe ulifaa zaidi kipindi cha Mkapa na JK Ndio maana nikasema Mbowe alitakiwa kumaliza uongozi wake 2015/2016 kwani tokea kipindi hiko hiyo mipango yake ilikuwa haitoshi tena katika aina ya siasa mpya za Tanzania za JPM na Samia.
 
Ongea kama msomi. Angemuuzia nani hizo akaunti? Wao waliondoka lakini walioingia hawakuwa na passwords za ku access zile akaunti. Lakini kwa namna walivyomfanyia Mrema walishindwa kumuomba.
Mkuu kuna mambo sio ya kutetea kabisa, John Mrema ameuza akaunti ya CHADEMA ya Twitter/X kwa John Marwa wa JamboTv, ilikuwa ni makosa makubwa akaunti za chama kumilikiwa na kuwa chini ya watu binafsi badala ya taasisi.

John Mrema aliondoka na akaunti ya YouTube ya Chadema akaenda nayo Chaumma akawa anafanyia habari za Chaumma.
 
CHADEMA ilipata umaarafu mkubwa kwa sababu ya uwepo wa Slaa na Lissu, watu wanazikumbuka speech za Lissu bungeni, nje ya bunge, harakati za katiba mpya n.k ila sio rahisi kukumbuka hata speech moja ya Mbowe.
Huwezi kupuuza mchango wa Mbowe katika kukua kwa CHADEMA ila mchango wake mkubwa labda useme ni kwenye kutafuta pesa zaidi na kujua kupanga timu.
Karibia viongozi wote wa Chadema walikuwa wazuri kwenye speech kulikuwa na Zitto kabwe, John Mnyika, Joshua nassari, Peter Msigwa,Wenje,Halima mdee n.k mtu ambaye alikuwa nyuma ya kuonesha talent zao ni Mbowe na Slaa Lissu alikuja kuibuka baadae
 
Aina ya uongozi wa Mbowe ulifaa zaidi kipindi cha Mkapa na JK Ndio maana nikasema Mbowe alitakiwa kumaliza uongozi wake 2015/2016 kwani tokea kipindi hiko hiyo mipango yake ilikuwa haitoshi tena katika aina ya siasa mpya za Tanzania za JPM na Samia.
Umeona Sasa umekuja kwenye hoja yangu nilichokupinga ni wewe kupuuza mchango wa mwenyekiti wenu wa Zamani Freeman Mbowe
 
Sijui unamaanisha nini ukisema kuwapigia kifua,
Hakuna mtu maarufu zaidi ya Lissu kwa sasa kuweza kumshinda kugombea nafasi yoyote ndani ya CHADEMA kwa hiyo hakuna ajabu sana hapo alichofanya Mbowe kumuwezesha Lissu kugombea Urais 2020.
Biashara za Mbowe ziliathirika baada ya ujio wa jiwe lakini pia huko nyuma biashara zake zilifaidika kupitia CHADEMA.
Lissu amekuwa Mwenyekiti mwaka jana tu. Kabla ya hapo Mwenyekiti alikuwa Mbowe. Alipokuwa Bungeni, kiongozi wa Upinzani alikuwa Mbowe. Alipopigwa risasi, Mwenyekiti alikuwa Mbowe. Alipoteuliwa kugombea umakamu Mwenyekiti alikuwa Mbowe. Alipokuwa mkimbizi, Mwenyekiti alikuwa Mbowe. Alipojiunga na Chadema, Mwenyekiti alikuwa Mbowe. Alipokuwa Chief Whip Bungeni, Mwenyekiti alikuwa Mbowe. Huo umaarufu wa sasa hauondoi ukweli Mbowe ndie aliyeifikisha Chadema ambapo wanaweza kujiita chama kikuu cha upinzani.
Mbowe alikuwa mfanyabiashara kabla ya Chadema. Tuambie alifaidika vipi kibiashara kutokana na yeye kuwa Mwenyekiti wa Chadema.

Amandla...
 
Mkuu kuna mambo sio ya kutetea kabisa, John Mrema ameuza akaunti ya CHADEMA ya Twitter/X kwa John Marwa wa JamboTv, ilikuwa ni makosa makubwa akaunti za chama kumilikiwa na kuwa chini ya watu binafsi badala ya taasisi.

John Mrema aliondoka na akaunti ya YouTube ya Chadema akaenda nayo Chaumma akawa anafanyia habari za Chaumma.
Kama msomi, niambie mtu anawezaje kuuza account ya You Tube, Insta, X n.k. kwa mtu mwingine. Na John Marwa anapata faida gani kuwa na account ya Chadema.

Amandla...
 
Namsikiliza sana. Mtu yeyote mwenye kufikiri alijua hamna jinsi CCM wangekubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi. Na wasingekubali kuahirisha uchaguzi. Angekuwa mwenye mtazamo wa mbali ange focus kwenye uchaguzi wa 2030 na kujipanga kuhakikisha kuwa Katiba Mpya na mfumo mzima wa uchaguzi unafumuliwa kabla ya 2028. Njia ya kufanya hivyo ni kuingiza wabunge wake bungeni na kupata ruzuku ya kutosha kupiga kampeni nchi nzima. Wale walioenda Chaumma walitambua hilo lakini Lissu ali focus kwenye 2025. Na matokeo yake tumeyaona.

Amandla...
Alishindwaje kuingiza hao wabunge wake 2020 na angewezaje kuwaingiza 2025?
Tafakari kabla hujaandika.
Ameshindwa ndani ya chama angeweza uchaguzi mkuu wa hovyo Kama wa 2025?
 
Shida yenu mnaangalia tu idadi ya wabunge wa kuchaguliwa. Kutokana na idadi ya kura ambazo wagombea wake walipata Chadema ilikuwa na haki ya kuwa na wabunge wengine 19. Chadema ingepata wabunge wa kuchaguliwa (Aidan lazima angeshinda) na wa viti maalum kutokana tu na idadi ya kura ambazo wagombea wake wangepata.

CCM wasingeweza kutangaza kuwa Lissu kapata kura 400000 kama walivyofanya kwa Mwalimu. Idadi hiyo ya kura pia ingewapa haki ya kupata ruzuku ambayo ingewasaidia sana katika uendeshaji wa chama chao.
Mgombea wa Chadema alikuwa awe Lissu kama Mbowe angeshinda. Mbowe hajawahi kutaka kugombea urais 2020 au 2025.

Aidha, Mbowe alishindwa kwa kura pungufu ya 10 katika uchaguzi uliopita. Hiyo ina maanisha karibu nusu ya waliopiga kura walimtaka Mbowe. Hao wanatakiwa wapewe heshima yao.

Amandla...
 
Back
Top Bottom