Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Wewe ni CCM mnafiki....nakujua vyema tu...Ungekuwa una akili timamu usingeandika huu upuuzi. Mimi sio MccM mwenzako. Fanya tafiti upate majibu mitaani CcM haikubakiki kabisa.
Huyu jamaa ana matatizoJPM hajatajwa kwenye Post lakini unavyoweweseka sasa nikama mwanamke anapomuona alie mtoa bikra.
Yaani Mbowe akubaliki we ni mpuuzi kweli
Wewe ni CCM mnafiki....nakujua vyema tu...
Wewe ni CCM "zugazuga" unayetamalaki humu JF kwa ajili ya UTAWALA WA AWAMU YA 5....umeshakwisha wewe juha....CCM ipo tu fulafula wewe.... itaendelea kuwepo hata baada ya awamu ya 10 sakala wewe.....
#Siempre CCM🙏
Umeufanyia utafiti huo wapi ili iwe ni kweli ?!!!Kubali ukweli ndio huo, bora mjipange na sio kubisha. Wananchi sio wale wa 2015.
Wewe na huyo kamanda "zuga" ndio wenye hasira....Aisee punguza hasira, inaelekea maisha bado kwako ni yale yale. 😃😃😃
Unajua nini kilitokea baada ya kujua CcM inaenda kumfia Jakaya?Umeufanyia utafiti huo wapi ili iwe ni kweli ?!!!
Yaani usingizi umekuruka na kutuaminisha kuwa UKWELI ni ule tu unaopendwa na HISIA zako kinyume na UHALISIA ....
Ilisemwa CCM ingemfia mh.Kikwete....hilo limetokea ?!!?
Umeufanyia utafiti huo wapi ili iwe ni kweli ?!!!
Yaani usingizi umekuruka na kutuaminisha kuwa UKWELI ni ule tu unaopendwa na HISIA zako kinyume na UHALISIA ....
Ilisemwa CCM ingemfia mh.Kikwete....hilo limetokea ?!!?
Usichokijua ni kuwa sote mimi na huyo KAMANDA sakala tulikuwa wote tunamhubiri JPM wa CCM humu ndani....ajabu mwenzangu kaamua kuikandia CCM ileile.....JPM hajatajwa kwenye Post lakini unavyoweweseka sasa nikama mwanamke anapomuona alie mtoa bikra.
Leo hii ?!!!Wewe huna hoja zaidi ya ushambenga wa kiToT
Wewe na huyo kamanda "zuga" ndio wenye hasira....
Mwenzako "mrija" wake UMEKATIKA....
#Siempre JMT🙏
🤣🤣🤣Lini mimi niwe pamoja na mpumbavu kama wewe? Ulishakuwa na point hata siku moja humu JF?
Ni kweli nilimpenda.Mtu akikatika mrija, umefaidikaje? Au makwenu hamkati mrija? Wewe hautakata? Furaha hiyo inakufaidishaje maishani mwako? Mnavyomtaja kila mara inaonyesha kwamba, kuna mengi hakuna Mtanzania anaweza kuyafikia au kumfikia. Alipendwa nawe pia, ndio maana unamuwaza na kuandika. Waliokata mirija kwenu,unawakumbuka pia kila sekunde?
Acha kujifanya CHADEMA...unapoteza nguvu zako tu....Mbona unalamisha ?
Tayari umeshapatikana.Acha kujifanya CHADEMA...unapoteza nguvu zako tu....
Ninyi ndio maadui wakubwa wa CCM kuliko hata hao CHADEMA.....
Sikiliza KAMANDA ZWAZWA....CCM ni imani....na IMANI haifi kwa kuwa nabii uliyempenda miongoni mwa WENGI ameondoka......
Tutolee unafiki wako hobobo wewe
Hoja....Unajua nini kilitokea baada ya kujua CcM inaenda kumfia Jakaya?