Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Umepatikana wewe MNAFIKI unayejifanya u miongoni mwa wazalendo wa CHADEMA akina ERYTHROCYTE na BAK......Tayari umeshapatikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepatikana wewe MNAFIKI unayejifanya u miongoni mwa wazalendo wa CHADEMA akina ERYTHROCYTE na BAK......Tayari umeshapatikana.
Acha Chadema tujipange alafunuone. Kilichotokea 2015 hakitarudia.Hoja....
CCM haikumfia mh.Kikwete.....
Tuliipambania kuendelea kutamalaki kama ambavyo itatamalaki baada ya awamu ya 6....umesikia wewe KAMANDA maslahi ?!!!!
😍We jamaa inatakiwa uanze dose ya mental health mapema Sana, we sio mzima
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acha Chadema tujipange alafunuone. Kilichotokea 2015 hakitarudia.
Kama ulivyo wako baada ya JPM kutawafu......Mwisho wako wa kufikiri ni hapa.
Wacha kuitafutia mikosi cdm wewe gamba la lumumba.Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa...
Wewe ni ccm wacha ulaghai wako maana cdm tulishakufukuza kitamboUngekuwa una akili timamu usingeandika huu upuuzi. Mimi sio MccM mwenzako. Fanya tafiti upate majibu mitaani CcM haikubakiki kabisa.
😳😳🤣🤣🤣Acha Chadema tujipange alafunuone. Kilichotokea 2015 hakitarudia.
Aisee wewe utakuwa mke wa pili wa dume fulani. Una maneno ya shombo sana. Au ni mwana taarabu wa Uswahilini? Zugezuge kweli.Wewe ni CCM mnafiki....nakujua vyema tu...
Wewe ni CCM "zugazuga" unayetamalaki humu JF kwa ajili ya UTAWALA WA AWAMU YA 5....umeshakwisha wewe juha....CCM ipo tu fulafula wewe.... itaendelea kuwepo hata baada ya awamu ya 10 sakala wewe.....
#Siempre CCM[emoji120]