Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Hiyo saccos ni ya familia ya Mtei-Mbowe. Nyie waganga njaa tulieni.Mwenyekiti Mbowe, kwa yanayoendelea nchi hii na kwa reaction ya wana-CHADEMA kufuatia maamuzi ya Spika kuwalinda Mdee na Wenzake, naiona hatari ya Rais Samia kukugombanisha na viongozi wenzako wa CHADEMA pamoja na wafuasi na mashabiki wa chama hiki.
Hizi ni tweets za Martin Maranja Masese aliyejitoa kuripoti kesi yake ile ya mchongo.