Mbowe, Rais Samia atakugombanisha wewe na Wanachama, Wafuasi na viongozi wenzako wa CHADEMA

Hiyo saccos ni ya familia ya Mtei-Mbowe. Nyie waganga njaa tulieni.
 
Tulia dogo. Mbowe ni mtu making sana😂😂😂😂😂
 
Na wewe mbona fake ID
 
Hoja ya kipumbavu sana hii wewe hapo umeweka jina lako? Hiyo kuweka kwako ID anonymous imekunyima vipi wewe kutoa hoja zako? Au unadhani huku wanasoma wanachadema tuu ?
 
Huyu mbwawe ni dalali wa kisiasa,utamaliza bando lako tu
 
Umesema ukweli mchungu
 
Maswala personal kisha akaambiwa aje awakanye wafuasi wake kuinanga serikali huku mitandaoni? Mimi ni mmoja kati ya watu wasio na imani tena na Mbowe hususani kwenye hizi safari zake za ikulu. Mbowe ashauriwe kuachia uenyekiti wa CDM ASAP.
Unajaribu kuigawa Cdm ? Kwa kusema huna imani na mwenyekiti, huo ni uasi.
 
usikute hayo yanatokea ya hao covid19 mwenyekiti anayajua vizuri??…….
Anayajua kwani Mbowe anamuogopa nani CHADEMA hadi afanye Siri? Kwani angetaka kuwapeleka bungeni si angeita tu press kama ya Lowassa na ingeisha hivyo!!
 
Naiona hatari hii mbele ya Mbowe , anapaswa kuamua kuwavna Samia au kuwa na Chadema
DJ anajua kilakitu na nimtaalam wa michoro kwa kiwango cha juu.

Tuliwaambia anajua walivyo ingia na wanavyo endelea kubaki anajua pia.

Hapo bado.

Nasiku mkijua ilekesiyake ilikuwa na dhumunigani ndio akili zitawarudia.
 
Salakasi za siasa ni jambo la siri.
Labda tuendelee kutulia huku tukijiandaa kuonana na Mh.Rais kama mlivyokwisha ambiwa na Mh.Mwenyekiti.
Ni jambo la subra ...halihitaji hasira wala kufoka foka.
 
Maswala personal kisha akaambiwa aje awakanye wafuasi wake kuinanga serikali huku mitandaoni? Mimi ni mmoja kati ya watu wasio na imani tena na Mbowe hususani kwenye hizi safari zake za ikulu. Mbowe ashauriwe kuachia uenyekiti wa CDM ASAP.
Aachie uenyekiti kwasababu kaenda ikulu aise unatumia akili gani kufikiria.kuongoza chama kikubwa cha upinzani kwenye hizi nchi zakiafrika sio kitu rahisi kama unavyofikiria.Kuna mambo lazima uyabalance kidiplomasia ili kuendelea kukiimarisha chama.Siasa za miaka yakisasa zinahitaji akili sio nguvu.Isingekua usmart wa mbowe hiyo Cdm leo ingekua kama Nccr au Cuf.Sasa unapokosa imani na mwenyekiti aliteifikisha Cdm hapo unataka upate nwenyekiti gani mwingine.
 
Reactions: Pep

30yrs ya uhai wa chama hakiwezi kuwa na mwenyekiti mwingine badala ya aliyepo?! Acheni upotoshaji na vitisho vya kusadikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…