Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Uzuri kuhusu w
Watanzania huwa hatupendi shida tumezoea kurelax na kuishi maisha yetu ya kawaida.

Swala la lockdown sio Rais tu hata sisi Wananchi wa kawaida hatutaki kulisikia kabisa kwasababu litaondoa Uhuru wetu wa maisha tuliyoyazoea.

I bet hata tukipiga kura no body can vote to stay inside.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana wewe ni kisambugile kuliko. Lockdown sio lazima iwe complete lockdown, kuna mambo yasiyo muhimu ya kulock kama vile ma-baa na vilabu vya pombe. Inashangaza watu bado wapo kwenye mataputapu mpaka sasa hatuwezi kuwa serious na corona namna hii. Namibia walifunga pombe zote hadi kwenye hotel miezi zaidi ya miwili sasa, waliishia kwenye kesi 16 tu na leo wamebaki wagonjwa 3 tu kuachana na corona. Na bado pombe na mikusanyiko ya dini imefungiwa, watu wapo serious and scientific.
 
Kwa wasiomjua huyu jamaa alikua ccm kindakindaki Bia yetu atasubiri
 
Naunga mkono hoja
 
Waliongea WHO,ambao dunia nzima inawasikiliza na wakagonga mwamba jiwe imara.
Itakuwa ww,hata mwenye kitongoji chake Hakujui!!!
 
Mbowe unaweza kuta tayari alikuwa kapiga kitu ya arusha, kwa jiyo alikuwa anaona tatu tatu
 
Aiseee!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa hiyo watabaki na hiyo hali mpaka lini maana corona ipo ipo bado mpaka mwakani, hvyo hawata join na nchi zingine mpaka mwaka kesho?
Kwa corona mtu mmoja anaweza sambaza nchi nzima muda mfupi
 
Rais kwenye hotuba yake amesema waziri wa afya atatoa taarifa ya kamati aliyounda. Hoja zako zitajibiwa au la kama yafuatayo hayatakuwa kwenye taarifa hiyo:
1. Mashine za kupima corona zilikuwa na kasoro na kupata zingine
2. Mashine hazikuwa na kasoro bali wataalamu hawakuwa na weledi wa kuzitumia lakini walipata mafunzo ya kunitumia
3. Idadi ya wagonjwa iliongezeka kutoka 509 na vifo kutoka 21 baada ya tangazo la mwisho (29/04/2020)
 
Mkuu ni mpumbavu peeke anaweza kukupinga! Upimaji unaofanyika mipakani na nchi jirani ni kiashiria kikubwa kuwa koona imeshika kasi. Imagine kila siku madereva kutoka tz wakipima wanakutwa na koona je huko wanakotoka hao madereva hali ikoje???
Duh!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe is being more presidential than the president himself!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe mbona hatupi takwimu za Corona za ukoo wake wa Mbowe za idadi ya waliopimwa,waliougua,waliopona, waliofariki na rate ya maambukizi imepungua au imeongezeka kwa kiasi gani ? Hizo hazihitaji serikali ni yeye tu kuzitoa
Tunaziomba ili tuone jinsi hili janga lilivyo kubwa kwenye ukoo wake

Ukoo wake unaficha? mbona hatupi hizo takwimu hata siku moja tunaomba awe anatupa takwimu za kila siku
 
We unadhani Serikali ni kama mji wako nyumbani ambao hata majirani wanaweza kujua unakula nini leo?

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Kwa hilo la Covid 19 mheshimiwa Mbowe angekubali tu matokeo kwamba kazidiwa.Upamoja wa wananchi na raisi Magufuli katika hili ni ushahidi tosha kwamba Raia wapo pamoja na raisi wao.
Upamoja upi unaouandika, unaweza kuufafanua hapa sote tuuelewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…