Wewe acha kulitaja bure jina la Bwana Mungu wako!!tapeli wa taifa, muongo muongo na mnafiki. Inaonekana jinsi alivyoshindwa kumudu uenyekiti wake. Dkt Magufuli si wa kumpinga, ukimpinga tegemea kupata kipigo toka kwa Mungu.
Mshakula tatu bila.
Angalia jinga hiliMagufuli kusikia tu Mhe, Mbowe ataongea leo., Limekurupuka huko lilikojifisha ili mradi tu. linajiongeresha kanisani huko.
tapeli wa taifa, muongo muongo na mnafiki. Inaonekana jinsi alivyoshindwa kumudu uenyekiti wake. Dkt Magufuli si wa kumpinga, ukimpinga tegemea kupata kipigo toka kwa Mungu.
Acha kupindisha mnafiki
Acha kupindisha mnafiki
Bado.tu??
Tumaini la watz ni mwamba magufuli raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania huyo mbowe Ni tumaini lenu nyie mtaa wa ufipa [emoji23][emoji1787][emoji2960]Good news. Tumsikulize tumaini la watz
Magufulia akiona hivi anawahi kuhutubia Taifa kanisani
Kenge weweHatutaki upotoshaji wa Mbowe
Mikusanyiko hairusiwi la sivyo ataenda lala selo
Hii ni nchi ya Jiwe,wengine anawaona kama wakimbizi tu.Hatutaki upotoshaji wa Mbowe
Mikusanyiko hairusiwi la sivyo ataenda lala selo