Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Mkuu mshauri boss awe anaenda live kupitia social networks ( u tube,Instagram, Facebook and the like) haya mambo ya kuongea na waandishi wa habari ndio mnataka kuwapa police nafasi ya kufanya ujinga wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutaki upotoshaji wa Mbowe

Mikusanyiko hairusiwi la sivyo ataenda lala selo
Hii ni nchi ya Jiwe,wengine anawaona kama wakimbizi tu.

Mwambie basi huyo jiwe wako atoke huko vichakani na atuambie vizuri,alitumia mbinu gani kuishinda corona Kama ni kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chadema hii agenda ya corona ni wazi imekuwa mlima kwenu.
Uchaguzi unakaribia Japangeni.
magufuli ndo keshasema hivyo.
Mtake ndo hivyo msitake ndo hivyo.
Ninyi hamuwezi kupewa lawama kwa anayofanya magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom