Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Wewe acha kulitaja bure jina la Bwana Mungu wako!!tapeli wa taifa, muongo muongo na mnafiki. Inaonekana jinsi alivyoshindwa kumudu uenyekiti wake. Dkt Magufuli si wa kumpinga, ukimpinga tegemea kupata kipigo toka kwa Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app