barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hata kikwete hakuwa na namna, aliwahenyesha jamaa balaa! Nafikiri muhula wa JK wapinzani walikuwa more abused physically kuliko muhula huu.Hii Sio awamu ya nne mwacheni mzee kikwete apumzike
Muda wa kunywa chai Ikulu na vijakazi wa mabeberu umekwisha
Hata kikwete hakuwa na namna, aliwahenyesha jamaa balaa! Nafikiri muhula wa JK wapinzani walikuwa more abused physically kuliko muhula huu.
ila bavicha ni wazee wa bora jana!
Huna hojaHuyo magufuli ni tumaini la wasaka vyeo na watu kutoka Jamhuri ya watu wa chato lkn wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi wote wamepotezwa mazima miaka yote 5 ya awamu hii
Hata kikwete hakuwa na namna, aliwahenyesha jamaa balaa! Nafikiri muhula wa JK wapinzani walikuwa more abused physically kuliko muhula huu.
ila bavicha ni wazee wa bora jana!
Jk alikua hataki ujinga, anakukong'ota mtaani kisha anakuita ikulu ukanywe juisi..sasa kwa akili za hawa wenzetu, wanasahau kila kitu... wakizingua tena anapiga virungu kisha anawaita kwenye juisi.. wanasahau tena...
Hoja yako ni ipi we kenge👇👇
Kama kawaida yenu misukule ya ufipa tayari umeshapanic na kuniita kenge mwenyewe unaona ndio hoja [emoji23][emoji1787][emoji2960]Hoja yako ni ipi we kenge[emoji116][emoji116]
Huyo magufuli ni tumaini la wasaka vyeo na watu kutoka Jamhuri ya watu wa chato lkn wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi wote wamepotezwa mazima miaka yote 5 ya awamu hii
Usiseme ku- shake hands tu, walikunywa hata chai Ikulu. Baada ya kunywa chai walifikia wapi? Wakajikuta wanatoroka bunge la katiba.Kwa mbali namuona Mnyama mwenyewe, Hahahahah. Hapo, anamshangaa mshua anawezaje kushake hands na mpinzani?
Hapo mbowe anaambiwa na Kikwete mbinu za kuiua chadema shahidi MagufuliAngalia picha hii halafu toa maoni yakoView attachment 1452518
Wazee wa bora jana! Mtampongeza sana JPM akitoka madarakani.
angalia vitu vya msingi kama hoja nk , badala ya kufuata mkumbo tu .Jmaa siku hizi anaona gloves nyeusi ni kinga ya COVID-19 kuliko barakoa
Rais akiongea na taifa huwa tunasubilia kuona maagizo na amri na muelekeo. Je, MBowe anapozungumza na taifa anakuwa anategemea nini. Tumsikie au tufanye nini.
Mungu hawezi kumbariki shetani mkuu..... Nyie ndio mnapanic mmeharibu nchi mna nn cha kuwaambia watz? Ndio maana kwa hofu hiyo mnanunua wabunge na madiwani lkn bado mnaogopa chaguzi za marudio. Mnaogopa tume huru mnaogopa katiba ya Wananchi....... Nyie ni mbwa walamba makalio tu ili mpate vyeo. Unamjua JECHA?Kama kawaida yenu misukule ya ufipa tayari umeshapanic na kuniita kenge mwenyewe unaona ndio hoja [emoji23][emoji1787][emoji2960]
MUNGUmbariki magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu nitagRais akiongea na taifa huwa tunasubilia kuona maagizo na amri na muelekeo. Je, MBowe anapozungumza na taifa anakuwa anategemea nini. Tumsikie au tufanye nini.
Baada ya kusikiliza hotuba yake, naona kilikuwa ni kilio cha kusemwa Bungeni, na kumuomba rais juu ya Corona. Hayo yalihitaji kusema anaongea na taifa? Nimemuona pia rangi ya nywele ilivyokolea vizuri.
Mbona nimeangalia! Rangi ya nywele safi! baadaye kazungumzia matatizo ya kusemwa Bungeni. Baadaye kaona atangaze afya ya mwanae. Baadaye maombi kwa rais. Je, hayo ni sababu ya kuzungumza na taifa kama ulivyotangaza?angalia vitu vya msingi kama hoja nk , badala ya kufuata mkumbo tu .
Porojo tu za kisukule hizoMungu hawezi kumbariki shetani mkuu..... Nyie ndio mnapanic mmeharibu nchi mna nn cha kuwaambia watz? Ndio maana kwa hofu hiyo mnanunua wabunge na madiwani lkn bado mnaogopa chaguzi za marudio. Mnaogopa tume huru mnaogopa katiba ya Wananchi....... Nyie ni mbwa walamba makalio tu ili mpate vyeo. Unamjua JECHA?
Hata mi nimeshangaaMbona nimeangalia! Rangi ya nywele safi! baadaye kazungumzia matatizo ya kusemwa Bungeni. Baadaye kaona atangaze afya ya mwanae. Baadaye maombi kwa rais. Je, hayo ni sababu ya kuzungumza na taifa kama ulivyotangaza?