Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Hii Sio awamu ya nne mwacheni mzee kikwete apumzike
Muda wa kunywa chai Ikulu na vijakazi wa mabeberu umekwisha
Hata kikwete hakuwa na namna, aliwahenyesha jamaa balaa! Nafikiri muhula wa JK wapinzani walikuwa more abused physically kuliko muhula huu.
ila bavicha ni wazee wa bora jana!
Jk alikua hataki ujinga, anakukong'ota mtaani kisha anakuita ikulu ukanywe juisi..sasa kwa akili za hawa wenzetu, wanasahau kila kitu... wakizingua tena anapiga virungu kisha anawaita kwenye juisi.. wanasahau tena...
 
Huwa wanajisahaulisha ili kum pre empty Rais Magufuli
Magufuli mwenywe ameishi nao bungeni miaka mingi anawajua kuwa ni wahuni tu
Hata kikwete hakuwa na namna, aliwahenyesha jamaa balaa! Nafikiri muhula wa JK wapinzani walikuwa more abused physically kuliko muhula huu.
ila bavicha ni wazee wa bora jana!
 
Hata kikwete hakuwa na namna, aliwahenyesha jamaa balaa! Nafikiri muhula wa JK wapinzani walikuwa more abused physically kuliko muhula huu.
ila bavicha ni wazee wa bora jana!
Jk alikua hataki ujinga, anakukong'ota mtaani kisha anakuita ikulu ukanywe juisi..sasa kwa akili za hawa wenzetu, wanasahau kila kitu... wakizingua tena anapiga virungu kisha anawaita kwenye juisi.. wanasahau tena...
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Chama chochote kinachokosa msimamo na kuanza kurukirukia kila mtu kudhani ni mtu mzuri,HAKIWEZI KUKOSA KUANGUKIA KWENYE LIST YA VYAMA VYA KIJINGA.NA KIONGOZI WA CHAMA Anaweza kushabikiwa na watu wasiojua siasa zinakoelekea.Eti Mbowe anaongea na media yy hana hoja zaidi ya kuzungumzia corona ambayo sio ya Tanzania ni ya ulimwengu mzima.na dawa hakuna kama analeta dawa that is excellent.lkn kama anakuja kuwasaidia watu kuiponda Tanzania basi pole zake.
 
Jmaa siku hizi anaona gloves nyeusi ni kinga ya COVID-19 kuliko barakoa
 
Hoja yako ni ipi we kenge[emoji116][emoji116]

Huyo magufuli ni tumaini la wasaka vyeo na watu kutoka Jamhuri ya watu wa chato lkn wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi wote wamepotezwa mazima miaka yote 5 ya awamu hii
Kama kawaida yenu misukule ya ufipa tayari umeshapanic na kuniita kenge mwenyewe unaona ndio hoja [emoji23][emoji1787][emoji2960]

MUNGU mbariki magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais akiongea na taifa huwa tunasubilia kuona maagizo na amri na muelekeo. Je, MBowe anapozungumza na taifa anakuwa anategemea nini. Tumsikie au tufanye nini.

Baada ya kusikiliza hotuba yake, naona kilikuwa ni kilio cha kusemwa Bungeni, na kumuomba rais juu ya Corona. Hayo yalihitaji kusema anaongea na taifa? Nimemuona pia rangi ya nywele ilivyokolea vizuri.
 
MUNGUmbariki magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hawezi kumbariki shetani mkuu..... Nyie ndio mnapanic mmeharibu nchi mna nn cha kuwaambia watz? Ndio maana kwa hofu hiyo mnanunua wabunge na madiwani lkn bado mnaogopa chaguzi za marudio. Mnaogopa tume huru mnaogopa katiba ya Wananchi....... Nyie ni mbwa walamba makalio tu ili mpate vyeo. Unamjua JECHA?
 
Akikujibu nitag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
angalia vitu vya msingi kama hoja nk , badala ya kufuata mkumbo tu .
Mbona nimeangalia! Rangi ya nywele safi! baadaye kazungumzia matatizo ya kusemwa Bungeni. Baadaye kaona atangaze afya ya mwanae. Baadaye maombi kwa rais. Je, hayo ni sababu ya kuzungumza na taifa kama ulivyotangaza?
 
Mungu hawezi kumbariki shetani mkuu..... Nyie ndio mnapanic mmeharibu nchi mna nn cha kuwaambia watz? Ndio maana kwa hofu hiyo mnanunua wabunge na madiwani lkn bado mnaogopa chaguzi za marudio. Mnaogopa tume huru mnaogopa katiba ya Wananchi....... Nyie ni mbwa walamba makalio tu ili mpate vyeo. Unamjua JECHA?
Porojo tu za kisukule hizo

MUNGU mbariki magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom