barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hata kikwete hakuwa na namna, aliwahenyesha jamaa balaa! Nafikiri muhula wa JK wapinzani walikuwa more abused physically kuliko muhula huu.Hii Sio awamu ya nne mwacheni mzee kikwete apumzike
Muda wa kunywa chai Ikulu na vijakazi wa mabeberu umekwisha
ila bavicha ni wazee wa bora jana!
Jk alikua hataki ujinga, anakukong'ota mtaani kisha anakuita ikulu ukanywe juisi..sasa kwa akili za hawa wenzetu, wanasahau kila kitu... wakizingua tena anapiga virungu kisha anawaita kwenye juisi.. wanasahau tena...