Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Ilitamkwa mhe KUB ataongea na Taifa leo ajabu na isivyo kawaida ya hapa jf kwakweli ni km hajafanya/kuongea leo!

Kwa kawaida MWAMBA akizungumza na Taifa huwa jf na kwingineko mijadala na maoni mbalimbali huibuliwa.

Kwa nini haipo hivyo leo!?
 
Hotuba ya Rais Magufuli leo asubuhi imemfilisi.....hana cha kuongea tena!
 
Hata ningekuwa Ni Mimi siwezi kumpa Mbowe nafasi ya kuongea !Hata kidogo ...Huyu mtu sio kabisa !Hotuba yake kamili ipo YouTube ...itafute usikilize uone sababu ya Serikali kumthibiti!
 
Kaongea pumba tupu najuta mb zangu zimepotea bure

Watu Tunakaribia kuishinda corona yeye analeta habari za classmates na spika
 
Kaongea pumba tupu najuta mb zangu zimepotea bure

Watu Tunakaribia kuishinda corona yeye analeta habari za classmates na spika
Mara ya mwisho lini kutolewa takwimu za corona
Ugonjwa hauishi kwa kucontrol information
 
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.

nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.

Tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?

Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?

na wakaanza kupima tena lini?

najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.

salaam.
 
Hivi Kama Jambo unalosema haliwi implemented na halina impact, why kupoteza muda kulifatilia?
 
Wiki kesho tunaweza kufungua vyuo na shule, wewe unatuleta corona tena wakati INAISHIA! Kila mmoja ataguswa kwa wakati wake
 
Nia ya huyu mtu kwa nchi yetu may be TISS na Majeshi yetu wanaijua Ila kwa akili ya kawaida tu,Kuna shida somewhere
 
dikiteita
 
Wiki kesho tunaweza kufungua vyuo na shule, wewe unatuleta corona tena wakati INAISHIA! Kila mmoja ataguswa kwa wakati wake
Kwani suala hili halikugusi ndugu kwa haya yanayoendelea.

Uliwahi kumuona waizir mkuu wa italia akilia hadharani huu ugpnjwa ni hatari siasa haipaswi kuwekwa mbele bali fact,truth na Science
 
Hivi unafikiri Ripoti hiyo utaisoma muda huo huo Rais anapoisoma? Rais anapata taarifa mapema sana hivyo kuhoji Ripoti imetoka au laah ni kukosa maarifa kwenyewe.

Je, uliambiwa upimaji usingefanyika kipindi wanafanya huo uchunguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…