Mango833
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 4,407
- 20,572
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha alikuwa mwenyeketi wa ccm taifa au Rais wa Tanzania?!kaongea uporoto tu. Hakuna lolote la maana
Hotuba ya Rais Magufuli leo asubuhi imemfilisi.....hana cha kuongea tena!Ilitamkwa mhe KUB ataongea na Taifa leo ajabu na isivyo kawaida ya hapa jf kwakweli ni km hajafanya/kuongea leo!
Kwa kawaida MWAMBA akizungumza na Taifa huwa jf na kwingineko mijadala na maoni mbalimbali huibuliwa.
Kwa nini haipo hivyo leo!?
Mara ya mwisho lini kutolewa takwimu za coronaKaongea pumba tupu najuta mb zangu zimepotea bure
Watu Tunakaribia kuishinda corona yeye analeta habari za classmates na spika
Wiki kesho tunaweza kufungua vyuo na shule, wewe unatuleta corona tena wakati INAISHIA! Kila mmoja ataguswa kwa wakati wakeNimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
Nia ya huyu mtu kwa nchi yetu may be TISS na Majeshi yetu wanaijua Ila kwa akili ya kawaida tu,Kuna shida somewhereNimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
dikiteitaRais akiongea na taifa huwa tunasubilia kuona maagizo na amri na muelekeo. Je, MBowe anapozungumza na taifa anakuwa anategemea nini. Tumsikie au tufanye nini.
Baada ya kusikiliza hotuba yake, naona kilikuwa ni kilio cha kusemwa Bungeni, na kumuomba rais juu ya Corona. Hayo yalihitaji kusema anaongea na taifa? Nimemuona pia rangi ya nywele ilivyokolea vizuri.
Kwani suala hili halikugusi ndugu kwa haya yanayoendelea.Wiki kesho tunaweza kufungua vyuo na shule, wewe unatuleta corona tena wakati INAISHIA! Kila mmoja ataguswa kwa wakati wake