Khalu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 523
- 567
Kwa kweli wametuacha dilemma, halafu wafanya mambo kimya kimya sasa hivi nasikia wanataka kufungua mashule.Na hapa ndio kuna tatizo. Viongozi wanatuambia hali ni shwari na wagonjwa wamepungua huko mahospitalini. Hii ni habari nzuri lakini shida inakuja hamna takwimu rasmi ya idadi ya waliopona, waliofariki na rate ya maambukizi imepungua au imeongezeka kwa kiasi gani.
Hapo ndio unashindwa hata kuelewa.