Black Butterfly
Senior Member
- Aug 31, 2022
- 130
- 368
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga
Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi (Autopsy) wa mwili wa Mzee Kibao kumalizika huku ukishuhudiwa na Wakili wa CHADEMA. Kibao amepatikana siku 1 baada ya kuripotiwa kuchukuliwa na Watu waliodaiwa kuwa ni Askari Polisi kutoka kwenye Basi la Tashrif na kutoweka naye
Aidha, Mbowe amesema Mamlaka za Kiserikali zitambue zina wajibika kutoa maelezo yanayoridhisha kwa Watanzania juu ya matukio ya Utekaji na Watu kupotea yanayoendelea nchini na waseme nani anapaswa kuwalinda
PIA SOMA: