mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,664
- 2,324
Wanaccm ni kifo ambacho hakijawagusa maana ni sehemu ya mkakati wao kuelekea uchaguzi.wewe binafsi hakijakugusa hata kama sio ndugu yako, ispokua mwanadamu mwenzago?🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaccm ni kifo ambacho hakijawagusa maana ni sehemu ya mkakati wao kuelekea uchaguzi.wewe binafsi hakijakugusa hata kama sio ndugu yako, ispokua mwanadamu mwenzago?🐒
Magufuli na Samia wasiwe na nguvu na hivyo vikundi vya watekaji? Au unataka kumtenga Magufuli na ule unyama aliokuwa anafanya? Au unadhani hatuna uelewa wowote?….. connected now, maana waja leo kulisemekana kuna kisambusi cha awamu 6, kupitia mga, sasa inawezekana mhusika alikuwa ana hujumu kambi, wanajuana na kuna kundi limetunishia misuri lingine. Maana kama kupotea wengi wamepotea uwaje huyu tu. Ila all in all Dkt Samia wala si Dkt Magufuli wakulaumu bali ni mifumo yetu inayoruhusu vikundi ndani ya mifumo kuwa na upper hand
ama kweli nyani haoni kundule 🐒Wanaccm ni kifo ambacho hakijawagusa maana ni sehemu ya mkakati wao kuelekea uchaguzi.
Wewe hujui kitu.Magufuli na Samia wasiwe na nguvu na hivyo vikundi vya watekaji? Au unataka kumtenga Magufuli na ule unyama aliokuwa anafanya? Au unadhani hatuna uelewa wowote?
yaani mshindwane wenyewe huko kisiasa na mviziane na kuumizana kwa siri...Yani nachukia nikiona mtu anasema huyu mama samia hana shida ila ni watu tu wanamuharibia...
Mtu anaongea kama anakunya anasahau huyo samia ndio amiri jeshi mkuu mwenye power ya kutosha kwa katiba yetu ya ovyo ya kukomesha huu upuuzi.yahn uchawa tu wa kuonesha huyo mama yenu siyo miyayusho.
kmmke.