Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga
Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi (Autopsy) wa mwili wa Mzee Kibao kumalizika huku ukishuhudiwa na Wakili wa CHADEMA. Kibao amepatikana siku 1 baada ya kuripotiwa kuchukuliwa na Watu waliodaiwa kuwa ni Askari Polisi kutoka kwenye Basi la Tashrif na kutoweka naye
Aidha, Mbowe amesema Mamlaka za Kiserikali zitambue zina wajibika kutoa maelezo yanayoridhisha kwa Watanzania juu ya matukio ya Utekaji na Watu kupotea yanayoendelea nchini na waseme nani anapaswa kuwalinda
Wanaotekwa kuuawa kila siku wengi wao ni wanachama au viongozi wa Chadema pekee, ni wazi sasa siasa zetu zimegeuzwa uwanja wa vita.
Haiwezekani wakati mwenzio anatumia mpaka tindikali kuumiza, wewe kila siku unamjibu kwa kulaani X, kuna hatua sasa ni LAZIMA ichukuliwe ili kujilinda na kukomesha huu ujinga wa kutekana.
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga
Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi (Autopsy) wa mwili wa Mzee Kibao kumalizika huku ukishuhudiwa na Wakili wa CHADEMA. Kibao amepatikana siku 1 baada ya kuripotiwa kuchukuliwa na Watu waliodaiwa kuwa ni Askari Polisi kutoka kwenye Basi la Tashrif na kutoweka naye
Aidha, Mbowe amesema Mamlaka za Kiserikali zitambue zina wajibika kutoa maelezo yanayoridhisha kwa Watanzania juu ya matukio ya Utekaji na Watu kupotea yanayoendelea nchini na waseme nani anapaswa kuwalinda
Inasikitisha kuona na kusikia Watzania wenzetu wanafanyiwa vitendo vya kikatili namna hii kila kukicha, ifikie mahali tuandamane na kupaaza sauti kupinga huu ukatili. Taasisi za Kimataifa zipo kimya kwa nini hazitoi tamko kwa Tanzania kuhusu huu uharamia unaofanywa dhidi ya Watanzania wasio na hatia?
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga
Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi (Autopsy) wa mwili wa Mzee Kibao kumalizika huku ukishuhudiwa na Wakili wa CHADEMA. Kibao amepatikana siku 1 baada ya kuripotiwa kuchukuliwa na Watu waliodaiwa kuwa ni Askari Polisi kutoka kwenye Basi la Tashrif na kutoweka naye
Aidha, Mbowe amesema Mamlaka za Kiserikali zitambue zina wajibika kutoa maelezo yanayoridhisha kwa Watanzania juu ya matukio ya Utekaji na Watu kupotea yanayoendelea nchini na waseme nani anapaswa kuwalinda
Akihutubia Mkutano wa hadhara wa kuhamasisha ushiriki wa maandamo yaliyopangwa kufanyika September 23 mwaka huu, aliewahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema marehemu Ali Kibao ni mtoto wa Shekhe na pia Shekhe Muu mstaafu ni baba yake mdogo na ni ndugu wa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wa zamani, Bwana Othman na pia ni ndugu wa balozi wa Tanzania nchini Morocco.
Godbless Lema kaongea mengi ila amesema kutokana na msibu huu kugusa wakubwa, ndio maana mnaona watawala wanaonyresha kuguswa.
Akihutubia Mkutano wa hadhara wa kuhamasisha ushiriki wa maandamo yaliyopangwa kufanyika September 23 mwaka huu, aliewahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema marehemu Ali Kibao ni mtoto wa Shekhe na pia Shekhe Muu mstaafu ni baba yake mdogo na ni ndugu wa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wa zamani, Bwana Osmani na pia ni ndugu wa balozi wa Tanzania nchini Morocco.

….. connected now, maana waja leo kulisemekana kuna kisambusi cha awamu 6, kupitia mga, sasa inawezekana mhusika alikuwa ana hujumu kambi, wanajuana na kuna kundi limetunishia misuri lingine. Maana kama kupotea wengi wamepotea uwaje huyu tu. Ila all in all Dkt Samia wala si Dkt Magufuli wakulaumu bali ni mifumo yetu inayoruhusu vikundi ndani ya mifumo kuwa na upper hand