Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga

Magufuli na Samia wasiwe na nguvu na hivyo vikundi vya watekaji? Au unataka kumtenga Magufuli na ule unyama aliokuwa anafanya? Au unadhani hatuna uelewa wowote?
 
Wanaccm ni kifo ambacho hakijawagusa maana ni sehemu ya mkakati wao kuelekea uchaguzi.
ama kweli nyani haoni kundule πŸ’

Chama kipo kwenye uchaguzi halafu hakijui wala kuona kwamba kipo kwenye uchaguzi, ila watu wake wanaona uchaguzi ambao hata hauhusiki 🀣

na yanayotokea yanahusishwa mojakwamoja na uhasama wa kisiasa wa wao kwa wao kwenye uchaguzi wao wenyewe πŸ’
 
Yani nachukia nikiona mtu anasema huyu mama samia hana shida ila ni watu tu wanamuharibia...

Mtu anaongea kama anakunya anasahau huyo samia ndio amiri jeshi mkuu mwenye power ya kutosha kwa katiba yetu ya ovyo ya kukomesha huu upuuzi.yahn uchawa tu wa kuonesha huyo mama yenu siyo miyayusho.

kmmke.
 
yaani mshindwane wenyewe huko kisiasa na mviziane na kuumizana kwa siri...

au mtu amendee mke wa mtu, afumaniewe na kuparuruwe na huenda hata auawawe, kisha aje alaumiwe mtu ambae hahusiki na taamaa za siri za mtu mwingine, hilo si tatizo la afya ya kisaikolijia gentleman?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…