Mbowe siasa sio biashara. Siasa ni maisha ya watu acha uzandiki. Rudisha chama mikononi mwa Wapinzani wa kweli

Mbowe siasa sio biashara. Siasa ni maisha ya watu acha uzandiki. Rudisha chama mikononi mwa Wapinzani wa kweli

Acha kujidanganya...Chadema ni private property na hakuna anayeweza kumfanya Mbowe chochote...sana sana mtafukuzwa mkaanzishe vyama vyenu.

Hizi siasa mnajaribu kufanya za kumtoa Mbowe alijaribu Zito miaka 10 iliyopita, mkamfanyia mizengwe na kumfukuza na majina ya usaliti mkampatia...muda si mrefu mkiendelea nanyi mtaitwa wasaliti na kufukuzwa!
Soma shule uelimike
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Aaaa hebu tulia kidogo Njoo pole pole naona upo hatarini kukasirika!
 
Madikteta wote huwa wanaaminisha wa fuasi wao kuwa bila yeye mambo hayaendi. Na hata hali iwe mbaya namna gani, wanawaaminisha kuwa yanaenda vizuri mno. Vyama vyote vya upinzani nchi hii ni wababaishaji watupu.
 
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?

Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?

Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?

Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kuiachia na kutuachia Wapinzani wa kweli
Chama kirudi kwa akina mashinji eeeeh?
 
Back
Top Bottom