Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #41
Soma shule uelimikeAcha kujidanganya...Chadema ni private property na hakuna anayeweza kumfanya Mbowe chochote...sana sana mtafukuzwa mkaanzishe vyama vyenu.
Hizi siasa mnajaribu kufanya za kumtoa Mbowe alijaribu Zito miaka 10 iliyopita, mkamfanyia mizengwe na kumfukuza na majina ya usaliti mkampatia...muda si mrefu mkiendelea nanyi mtaitwa wasaliti na kufukuzwa!