Mbowe: Siwezi kung'atuka CHADEMA wala kujiuzulu, mimi sio Nyerere

Pumba.
 
chadema siipendi lakini pia huwezi mwachia chama mtu amabaye hana busara .kikawaida uongozi unamwachia yule unayemwamini ambaye amejifunza kwako. sasa wewe unaona unayemwachia hakuamini unaweza kumkabidhi mikoba?

kwanza inatakiwa wabadili katiba kwamba mwenyekiti aliyeko atapendekeza jina kwa wazee wachama then kamati kuu impigie kura .siyo huu uchafu wa kuchafuana wanaoufanya.jifunzeni kwa CCM
 
Bora miti, hawa ni SHUBAPORI kabisa.
 
Ni Uamuzi wake Kikatiba kama ilivyo uamuzi wa wapiga Kura kuona kama anafaa au amepwaya..., Hii notion ya kwamba Demokrasia ni miaka kadhaa ndio imetosha sijui ilitokea wapi

 
Ila wewe ni Mugabe sio, basi sawa. Yote maisha na siasa
 
Mb
Mbowe kamuuzia chama mama Abdul. Mbowe atashindana lakini hatashinda. Mjinga sana Mbowe
 
Yaani Freeman apendekeze jina...hahahaha...
Pamoja na figisu mfumo wa CCM bado ni bora sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…