Mbowe: Siwezi kung'atuka CHADEMA wala kujiuzulu, mimi sio Nyerere


Ila mkuu, wewe ni mchagga sio? Na hapo ulipo unacomment ukiwa ukanda wenu sio!!😄

Kumbuka, Chadema sio chama cha mtu mmoja au kabila moja/wachagga.
 
Ila mkuu, wewe ni mchagga sio? Na hapo ulipo unacomment ukiwa ukanda wenu sio!!😄

Kumbuka, Chadema sio chama cha mtu mmoja au kabila moja/wachagga.
Sina Wala sifikirii kuwa Mchanga Ili kitokee nini?

Mbowe kamatia hapo hapo Hadi vibaraka wote waombe poo.
 
Kwahiyo mmeamua kumuunga mkono ndugu yenu wa ukanda wenu
Mimi sio mchaga
Ijapokuwa Chadema ipo katika milki ya kichaga.
Ninachokijua ni kuwa Chadema inaendeshwa kwa pesa za uwekezaji wa Mbowe.
Kwahiyo hakuna wa kumuondoa Mbowe Ila Mbowe huwaondoa wale wanaotaka kuwa juu yake.
Nadhani umenielewa sasa
 
Aliesema ajiuzuru ni nani? Chama bado kinamuhitaji ila sio katika nafasi ya uwenyekiti wa chama, naomba hili mh Mbowe alipigie mstari
 
Toba!
 
 

Attachments

  • IMG-20250107-WA0016.jpg
    142.4 KB · Views: 2
Un
Mwambie Mbowe amkabizi chama baba Yako sasa, unaongea kama kuku mwenye kideli,

Please use your brain wise,wewe utakuwa na ubongo wa nguruwe
 
Un
Mwambie Mbowe amkabizi chama baba Yako sasa, unaongea kama kuku mwenye kideli,

Please use your brain wise,wewe utakuwa na ubongo wa nguruwe
Haka ka mchezo hakatakagi hasira...jamaa yenu si kaingia na miguu miwili sasa subiri BOX litakavyo muumbua.
 
Mchaga na madaraka ni damu damu
Suala si uchaga, suala ni kwamba ukitaka uongozi wa taasisi yoyote ile ambayo na wewe ni sehemu ya uongozi ni lazima uwe makini sana..

Sasa ni hivi CDM washamaliza uchaguzi sasa hivi wanapanga namna ya kupunguza dhoruba baada ya uchaguzi - hili nalo hulijui??
 
Haka ka mchezo hakatakagi hasira...jamaa yenu si kaingia na miguu miwili sasa subiri BOX litakavyo muumbua.
Tunajua ujinga wenu, Those who vote are not going to decide the winner but those who Count the vote. Tumejiandaa sana mkiiba Kwa box 🎁 tutawapiga public chama life kabisa, hii ni trailer tutagawana chama,

#Samaki ana mengi ya kuongea sema ana maji mdomoni
 
Nalijua ila mbowe mlafi bhna ila lissu hafai kuwa kiongozi aache uvivu wa kuchambua sheria uongozi hauwezi
 
Tutakutajia wahisaji wote kuanzia mwaka 2015, waliochangia chama mjomba wenu hakufikisha pesa na zingine anakopesha anadai ni zake tulizeni midomo,

Mkitaka kuona uchi wa kuku subilini upepo upulize
 
Ha ha ha kijana pole sana, yaani muiteni hata meneja wa Clubhouse aje kuwa wakala wa mgombea wenu.

Yaani ni hivi uchaguzinushaisha wana CDM kwa sasa wanapanga namna ya kupunguza nyufa ndogo ndogo zitakazojitokeza baada ya zoezi kukamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…