Mbowe: Siwezi kung'atuka CHADEMA wala kujiuzulu, mimi sio Nyerere

Na chama cha majizi ya kura ndio mnamuunga mkono Mbowe kuendelea kuwepo kama mwenyekiti chama.
 
Hata ingekuwa mimi nisingemuachia mtu chama wakati simkubali, hana itikadi zinazoendana na ninachotaka, ndivyo waafrika tunavyoachiana madaraka.
 
Sahihi
 
Haya majitu makina freeman yanawahadaa waTz, yanaboa sana. Watu wamepoteza maisha yao, wamepata ulemavu, wametoweshwa halafu kumbe mijitu inalamba tu asali ya watawala! shoe wine!

JESUS IS LORD&SAVIOR
Wapumbavu Wacha Waendelee Kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ