Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa.

Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14.
Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa kulipa fedha hizo hivyo wameruhusiwa wawe wanachangishana fedha za kununua unga na mboga kila siku na wajipikie wenyewe.

Ningekuomba KUB Mbowe kabla ya kushupalia lockdown watembelee kwanza wahanga hawa uwasikilize kisha uwasaidie na chakula maana wengi wao wana watoto wadogo wanaohitaji lishe bora.

Ikiwezekana linganisha Karantini uliyokuwepo wewe juzikati na hiyo ya hao wanyonge.

Ni hayo machache

Maendeleo hayana vyama!
 
Utu wako uko wapi?

Binadamu wenzako tena ni raia nchi moja na yako unaleta dhihaka ya utofauti wa kisiasa kwenye kuwasaidia?!. Kuna maisha nje ya siasa. Tukirudi kwa Mungu msidhani atatuuliza kuwa mlikuwa ni vyama gani huko duniani.
 
Kumuomba billionea Mbowe akawasaidie hao watu wanaolia njaa ni kosa? Imevunjwa sheria gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa.

Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14.
Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa kulipa fedha hizo hivyo wameruhusiwa wawe wanachangishana fedha za kununua unga na mboga kila siku na wajipikie wenyewe.

Ningekuomba KUB Mbowe kabla ya kushupalia lockdown watembelee kwanza wahanga hawa uwasikilize kisha uwasaidie na chakula maana wengi wao wana watoto wadogo wanaohitaji lishe bora.

Ikiwezekana linganisha Karantini uliyokuwepo wewe juzikati na hiyo ya hao wanyonge.

Ni hayo machache

Maendeleo hayana vyama!
Siku akienda kutoa huo msaada nami nitfanya hivyo kesho yake.
 
Nyie kila kitu kwenu fulsa

Yah ni sawa wakati nchi haina uongozi waliopata uoungozi kimizengwe wamewakimbia wananchi na kwenda kujificha porini ni fursa adhimu wa Mbowe ambaye ni KUB kuonyesja uongozi, kwa kutoa mweleleo wa nchi dhidi ya hili janga,
 
Kuna Mambo muhimu Kama sukari kupanda bei wakati inazalishwa nchini haya no Mambo yanayomgusa mwananchi moja kwa moja kuliko kung'ang'ania Mambo ambayo mwananchi wa kawaida inamchukua muda kuyaelewa
 
Back
Top Bottom