Ndo hvyo tena sio rizikiShimoni kariakoo ulikopitia ni asali Mitigator!

Napenya kama kambale wa matopeni..........anaijua!Ndo hvyo tena sio riziki
Bwabwa lazima upenyeNapenya kama kambale wa matopeni..........anaijua!
Mama Mitigator ni bwawani!Bwabwa lazima upenye
Sasa kwa nini anataka lockdown wakati hakusanyi kodi?Mbowe ndiye anakusanya Kodi za nchi hii? Hivi huwa mna reason kwa kutumia nini? johnthebaptist,
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sina chama isipokuwa nimependezewa sana na Ideal uliyoitoa, Mbowe anahamasisha lockdown as if hiyo kuwa ndio final solution, ni kama vile ni mgeni wa nature na logistics za waTanzania kabisa.Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa.
Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14.
Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa kulipa fedha hizo hivyo wameruhusiwa wawe wanachangishana fedha za kununua unga na mboga kila siku na wajipikie wenyewe.
Ningekuomba KUB Mbowe kabla ya kushupalia lockdown watembelee kwanza wahanga hawa uwasikilize kisha uwasaidie na chakula maana wengi wao wana watoto wadogo wanaohitaji lishe bora.
Ikiwezekana linganisha Karantini uliyokuwepo wewe juzikati na hiyo ya hao wanyonge.
Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
Why Mbowe na si serikali inayoendelea kutukamua kodi? waambie hao mafisadi wenu watoe hata kidogo tu,kwenye hizo pesa walizopiga kupitia miradiKupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa.
Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14.
Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa kulipa fedha hizo hivyo wameruhusiwa wawe wanachangishana fedha za kununua unga na mboga kila siku na wajipikie wenyewe.
Ningekuomba KUB Mbowe kabla ya kushupalia lockdown watembelee kwanza wahanga hawa uwasikilize kisha uwasaidie na chakula maana wengi wao wana watoto wadogo wanaohitaji lishe bora.
Ikiwezekana linganisha Karantini uliyokuwepo wewe juzikati na hiyo ya hao wanyonge.
Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
Kama yuko kundi lenu basi naye atakuwa nyumbu.
Acha unafiki, umeanza kuwa kituko. Twende utafikia kuwa shithole!Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa.