johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwahiyo Mbowe ni nani wako?Taarifa yako imekaa kinafiki, we mtoa mada umeanza mazoe yakijinga yakumuona Mbowe kama demu wako.
Hoja ya nani anakusanya kodi inapendwa sana na upinzani kuliko kuhoji matumizi ya fedha za ruzuku na mfuko wa jimbo, kulikoni?Mbowe ndiye anakusanya Kodi za nchi hii? Hivi huwa mna reason kwa kutumia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumuomba billionea Mbowe akawasaidie hao watu wanaolia njaa ni kosa? Imevunjwa sheria gani?Utu wako uko wapi?
Binadamu wenzako tena ni raia nchi moja na yako unaleta dhihaka ya utofauti wa kisiasa kwenye kuwasaidia?!. Kuna maisha nje ya siasa. Tukirudi kwa Mungu msidhani atatuuliza kuwa mlikuwa ni vyama gani huko duniani.
kwani CAG Hakagui hayo matumiziHoja ya nani anakusanya kodi inapendwa sana na upinzani kuliko kuhoji matumizi ya fedha za ruzuku na mfuko wa jimbo, kulikoni?
Siku akienda kutoa huo msaada nami nitfanya hivyo kesho yake.Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa.
Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14.
Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa kulipa fedha hizo hivyo wameruhusiwa wawe wanachangishana fedha za kununua unga na mboga kila siku na wajipikie wenyewe.
Ningekuomba KUB Mbowe kabla ya kushupalia lockdown watembelee kwanza wahanga hawa uwasikilize kisha uwasaidie na chakula maana wengi wao wana watoto wadogo wanaohitaji lishe bora.
Ikiwezekana linganisha Karantini uliyokuwepo wewe juzikati na hiyo ya hao wanyonge.
Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa.
Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14.
Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa kulipa fedha hizo hivyo wameruhusiwa wawe wanachangishana fedha za kununua unga na mboga kila siku na wajipikie wenyewe.
Ningekuomba KUB Mbowe kabla ya kushupalia lockdown watembelee kwanza wahanga hawa uwasikilize kisha uwasaidie na chakula maana wengi wao wana watoto wadogo wanaohitaji lishe bora.
Ikiwezekana linganisha Karantini uliyokuwepo wewe juzikati na hiyo ya hao wanyonge.
Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
Yah ni sawa wakati nchi haina uongozi waliopata uoungozi kimizengwe wamewakimbia wananchi na kwenda kujificha porini ni fursa adhimu wa Mbowe ambaye ni KUB kuonyesja uongozi, kwa kutoa mweleleo wa nchi dhidi ya hili janga,Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa.
Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14.
Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa kulipa fedha hizo hivyo wameruhusiwa wawe wanachangishana fedha za kununua unga na mboga kila siku na wajipikie wenyewe.
Ningekuomba KUB Mbowe kabla ya kushupalia lockdown watembelee kwanza wahanga hawa uwasikilize kisha uwasaidie na chakula maana wengi wao wana watoto wadogo wanaohitaji lishe bora.
Ikiwezekana linganisha Karantini uliyokuwepo wewe juzikati na hiyo ya hao wanyonge.
Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
Mi nadhani tungechangia pesa kama ambavyo tuliweza kuwachangia kina mbowe watoke gerezani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ndiye anakusanya Kodi za nchi hii? Hivi huwa mna reason kwa kutumia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app