Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

Kwani serikali ya CCM yenye uchumi unaokua kwa kasi Afrika imeshindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia hii
 

Attachments

  • IMG_20200410_084027.jpg
    44.5 KB · Views: 14
JF siku hizi kuna vilaza wengi sana
Hivi unajua hao wanaolalamika ni raia wa nchi gani? Hao ni Wakenya ambao waliingia Tanganyika kwa njia za panya kukwepa Karantini.
Kwa hiyo wewe unataka kodi za Watanganyika ziwahudumie wazamiaji kutoka Kenya seriously?
Leo ndio nimeamini kuwa 1/4 ya raia wa Tanganyika ni Matahira
 
Hoja ya nani anakusanya kodi inapendwa sana na upinzani kuliko kuhoji matumizi ya fedha za ruzuku na mfuko wa jimbo, kulikoni?
Kama karantini ipo jimboni kwake naunga mkono
Lakini kama haipo jimboni kwake unamuonea kuhusisha ruzuku na mfuko wa Jimbo.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo
 
Hili bwabwa la lumumba likishalewa linakua pumbafu sn.Kwakua hakuna madhara makubwa lumumba mnaonekana mnasupport mkiti wenu lakin hali ikiwa mbaya hutaleta kejeli za kitoto kwa mtoa ushauri.Ni wajibu wa serikali kutunza raia wake wanapokua kwenye majanga kupanga ni kuchagua.Vipi na wale waliofariki kwa corona umemwambia mwenyekiti wako awapelekee chakula familia zao?Siasa za ccm za kipuzi sana hawangalii hoja bali si mwenzetu.One of the political scientist says"partisanship distort mental ability"
 
Heshima itawale mkuu. Nawe unhefanya kautafiti tu pale Mloganzila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya majukumu ya msingi kabisa ya serikali yoyote duniani ni kuwahudumia wananchi waliopatwa na majanga kama magonjwa yanayosababishwa na corona virus.
Raia wote wanaotengwa kwa sababu ya ugonjwa wanastahili kuhudumiwa kila kitu kwa gharama za serikali hadi pale watakaporejea kwenye shughuli zao za kila siku.
Uhalali wa serikali unahakikishwa pamoja na mambo mengine, ya msingi ni ulinzi na usalama wa raia bila kusahau misaada wakati wa majanga.
Kwa watu makini, kuwahudumia wahanga wa covid19 kwa gharama za serikali hakuna ubishi.
 
Kwa hiyo mmewaweka watu karantini makusudi ili mje kumwambia Mbowe si unaona sasa toa msaada sasa. Au sio
 
Mara nyingi vichaa huamini kuwa wote wanaowazunguka hawana akili. Mara kadhaa utawasikia, nani ana akili kunizidi mimi!!
 
Anayekusanya kodi zao humjui.....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini wale wanaokusanya Kodi zetu wasiwe Wa kwanza kwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…