BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Wewe naye na kodi! Unachangia kiasi gani kwa mwezi? Hujui Mbowe anawachangisheni ninyi kodi bila kujua? Hivi leo akisema, nyumbu wangu changieni kwenye akaunti a, b, c,....tupate pesa ya kusaidia quarantine ya horohoro mtachanga pesa kibao? Atumie hiyo fursa kusaidia wahanga wa quarantine. Au mnapenda kuchangia mambo ya kijinga tuu?Mbowe ndiye anakusanya Kodi za nchi hii? Hivi huwa mna reason kwa kutumia nini? johnthebaptist,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huna akilii. Bilionea ni yule aliyewaita watengeneza ndege ikulu na kuwaagiza ndege atakazo. Wajua 10% ya ndege moja wewe?Kumuomba billionea Mbowe akawasaidie hao watu wanaolia njaa ni kosa? Imevunjwa sheria gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
watu bhanaTaarifa yako imekaa kinafiki, wewe mtoa mada umeanza mazoe yakijinga yakumuona Mbowe kama demu wako.
Taarifa yako imekaa kinafiki, wewe mtoa mada umeanza mazoe yakijinga yakumuona Mbowe kama demu wako.
johnthebaptist, Mimi nadhani tungechangia pesa kama ambavyo tuliweza kuwachangia kina Mbowe watoke gerezani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hilo ni jukumu la KUBKupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa.
Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14.
Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa kulipa fedha hizo hivyo wameruhusiwa wawe wanachangishana fedha za kununua unga na mboga kila siku na wajipikie wenyewe.
Ningekuomba KUB Mbowe kabla ya kushupalia lockdown watembelee kwanza wahanga hawa uwasikilize kisha uwasaidie na chakula maana wengi wao wana watoto wadogo wanaohitaji lishe bora.
Ikiwezekana linganisha Karantini uliyokuwepo wewe juzikati na hiyo ya hao wanyonge.
Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
Mbona billionea Rostam ametoa msaada kwa nini na billionea Mbowe asitoe?Hiyo ni kuidharau Serikali, na kutifanya tuamini hatuna Serikali.
Umepanic ndugu, nani kakuambia uchangie?Changia kwani nani amekukataza, unataka kutembelea bahati ya mwenzako!!
Sent using Jamii Forums mobile app
toa na wewe alichokupa mama akoMbona billionea Rostam ametoa msaada kwa nini na billionea Mbowe asitoe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujaelewa maughui ya uzi omba usaidiweMbowe ndiye anakusanya Kodi za nchi hii? Hivi huwa mna reason kwa kutumia nini? johnthebaptist,
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee umewasikia WHO lakini?!Unavyosema Mbowe anashupalia unaonesha jinsi gani huna adabu, au huna akili kabisa.
Unajua fika Corona inavyoenezwa, Mbowe anasisitiza lockdown kwaajili ya usalama wa watu, halafu wewe unaleta mchezo wa kitoto.
Unadhani Museveni alichofanya Uganda hana akili?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina Mbowe pumzi iliwaishia ikabidi Dr Magufuli ajazilizie palipo pelea yaani sh 38m.johnthebaptist, Mimi nadhani tungechangia pesa kama ambavyo tuliweza kuwachangia kina Mbowe watoke gerezani
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize mama Mitigator ninavyomchumisha tembele!Hili bwabwa la lumumba likishalewa linakua pumbafu sn.Kwakua hakuna madhara makubwa lumumba mnaonekana mnasupport mkiti wenu lakin hali ikiwa mbaya hutaleta kejeli za kitoto kwa mtoa ushauri.Ni wajibu wa serikali kutunza raia wake wanapokua kwenye majanga kupanga ni kuchagua.Vipi na wale waliofariki kwa corona umemwambia mwenyekiti wako awapelekee chakula familia zao?Siasa za ccm za kipuzi sana hawangalii hoja bali si mwenzetu.One of the political scientist says"partisanship distort mental ability"
Ha haaa eti akiwa shamba, sipati pichaKina Mbowe pumzi iliwaishia ikabidi Dr Magufuli ajazilizie palipo pelea yaani sh 38m.
Mbowe alishaanza kutumikia kifungo ......alipata taarifa akiwa shamba nusura amkate kwa jembe mfungwa mwenzake wakati anarukaruka kwa shangwe ya kuwa huru!
Kaniambia ww ni bwabwa huwez alf leviiiMuulize mama Mitigator ninavyomchumisha tembele!
Shimoni kariakoo ulikopitia ni asali Mitigator!Kaniambia ww ni bwabwa huwez alf leviii