Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

Binafsi sina chama isipokuwa nimependezewa sana na Ideal uliyoitoa, Mbowe anahamasisha lockdown as if hiyo kuwa ndio final solution, ni kama vile ni mgeni wa nature na logistics za waTanzania kabisa.
Kweli aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa, of course tatizo lipo na solution ni mass awareness and precautions sio total lockdown, wengi watakufa njaa, maiti zitatapakaa na hao hao wapinzania watakazia kuwa jamaa wamekufa kwa korona kumbe ni njaa.
“We’re born to die, why fight to live?”_The game
 
Why Mbowe na si serikali inayoendelea kutukamua kodi? waambie hao mafisadi wenu watoe hata kidogo tu,kwenye hizo pesa walizopiga kupitia miradi
 
Acha unafiki, umeanza kuwa kituko. Twende utafikia kuwa shithole!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…