PostGE2025 Mbowe: Taifa lina maumivu makubwa. Nisiposema haya nitakuwa mnafiki au 'Mswahili'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa taifa bado lina maumivu makubwa, akibainisha kuwa wapo watu walioko magerezani ambao wanastahili kula matunda ya nchi yao pamoja na Watanzania wenzao.

Ameyasema hayo leo wakati wa msiba wa Mzee Mtei unaofanyika Tengeru, mkoani Arusha.

Acha watu walazimishwe kumeza vidonge vichungu katika muda na wakati wasio tarajia kwani wameamua kuwanyamazisha wanaosema kupunguza maumivu yao na yale ya ndugu zao.Najua wakitoka hapo kwanza wataenda kuwa labua vibao wale chawa wanaosema watu wanawafagilia kuwa mnaupiga mwingi na mnapendwa sana na mnafanya vyema sana.Nimuda wa ukweli ,uwazi na haki taifa lisirudi mara nyingine kwenye oct toremember.
 
Samia pamoja na kuwa anamiliki majeshi lakini hakuhudhuria msiba.Bado anaendelea kujificha uvunguni mwa kitanda tunguu.
 
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa taifa bado lina maumivu makubwa, akibainisha kuwa wapo watu walioko magerezani ambao wanastahili kula matunda ya nchi yao pamoja na Watanzania wenzao.

Ameyasema hayo leo wakati wa msiba wa Mzee Mtei unaofanyika Tengeru, mkoani Arusha.
Screenshot_20251230-125142~2.png
 
Mbowe anaibukia kwenye msiba kuyasema haya wakati yakiwepo kwa zaidi ya mwaka?.....

Tukisema anaunga mkono maridhiano yanayopigiwa debe na CCM na yule mzee wa hovyo tutakuwa tumekosea na kustahili kupotezwa au kupewa kesi ya uhaini? 🤔
Mbowe ni mtu mwenye Kariba ya kiongozi kuliko kiongozi yoyote wa Chadema huwa haongei mara kwa mara lakini akiongea hoja zake zinatikisa ni kwasababu ni mtulivu, anabusara, hekima na maono ujua wapi pakuongea na wapi pakunyama huwa Hana mihemko
 
Nchi ilipofikia haihitaji aina hiyo ya viongozi wa upinzani, namna ya kudili na wahuni ni kuwa mhuni zaidi yao
 
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa taifa bado lina maumivu makubwa, akibainisha kuwa wapo watu walioko magerezani ambao wanastahili kula matunda ya nchi yao pamoja na Watanzania wenzao.

Ameyasema hayo leo wakati wa msiba wa Mzee Mtei unaofanyika Tengeru, mkoani Arusha.
Neno “Mswahili” maana yake nini? Muhuni, mwongo, lugha ndefu, mtu wa pwani, Kobaz? Au?
 
Ndiyo nakwambia hivyo mnavyotumia ni makosa. Na ninategemea wahuni wakiwa kijiweni waseme hivyo, lakini si Mbowe kwenye msiba wa Mtei.

Mbowe should know better.

Hakuna namna ya kutolihusisha neno Mswahili na Kiswahili.

Koswahiki ni lugha ya Mswahili.

Mswahili ni mtu wa Pwani ya Afrika ya Mashariki.

Kuna utamaduni mkubwa na wenye mambo mengi mazuri kwa Waswahili.

Mpaka hiyo lugha aliyotumia Mbowe ni ya Waswahili. Mbowe ni Mchaga wa Machame lakini hakutumia Kichaga hapo kuongea, katumia Kiswahili.

Mbowe amejionesha kuwa ni mtu mjinga sana mwenye mawazo ya kizamani ya ubaguzi wa kikabila na kiutamaduni. Ameweka kasumba ya kuwaweka Waswahili wote kwenye kapu moja, kwamba Uswahiki ni sawa na unafiki.

Ametia doa msiba wa Mzee Mtei, baba mkwe wake, sehemu ambapo alitegemewa kuongea kwa heshima, kaongea kama mubuni yupo kijiweni tu.

Unafiki ni tabia ya mtu, kuna Wachaga wanafiki, kuna Waingereza wanafiki, kuna Wachina wanafiki.

Mbowe amejionesha kuwa liicha ya kukaa mjini siku nyingi na kuwa mwanasiasa mkubwa bado ni mshamba tu.
Hapa ume over-react, Kwa muda mrefu wa maisha yangu na kila siku huwa nasikia “yule Mswahili” hasa yule mtu akiwa anaongea sana. Yule mtu aingeaye kiswahili nadhifu cha pwani, na mara nyingi ni kukutahadharisha uwe makini na huyo muongeaji.

Nafikiri hii lugha zamani wazungumzaji walitumia kudanganya watu. Hasa kwa wale waliokuwa hawajui hii lugha walidanganywa.
 
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa taifa bado lina maumivu makubwa, akibainisha kuwa wapo watu walioko magerezani ambao wanastahili kula matunda ya nchi yao pamoja na Watanzania wenzao.

Ameyasema hayo leo wakati wa msiba wa Mzee Mtei unaofanyika Tengeru, mkoani Arusha.
Sijui kama anatambua mchango wake kwenye hali hiyo anayoizungumzia sasa hivi!

Ni vizuri, tukitaka kuyatambua haya yanayotokea sasa, tukitambua yaoote yaliyochangia hadi tukafika hapa tulipo. Haya hayakutokea tu mara moja kwa ghafla, ni mambo ambayo yamejengeka hatua kwa hatua. Kama tulishiriki kwenye hatua yoyote ndani yake, basi tunakuwa ni washiriki wa matokeo ya hatua hizo..

Na tukitaka kujitenga kabisa na matokeo hayo, ni muhimu kuwa wazi kabisa na kuyakataa yote hata tuliyoshiriki ndani yake.
 
Hapa ume over-react, Kwa muda mrefu wa maisha yangu na kila siku huwa nasikia “yule Mswahili” hasa yule mtu akiwa anaongea sana. Yule mtu aingeaye kiswahili nadhifu cha pwani, na mara nyingi ni kukutahadharisha uwe makini na huyo muongeaji.

Nafikiri hii lugha zamani wazungumzaji walitumia kudanganya watu. Hasa kwa wale waliokuwa hawajui hii lugha walidanganywa.

Natumia mfano mkali ili kuionesha point vizuri.

Hapo ni kama nimekukuta umekaa karibu na choo cha shimo, sehemu inanuka mavi, ila wewe umezoea hiyo harufu.

Halafu, mimi niliyetoka mbali ambaye najua hiyo harufu si ya kawaida, nakwambia hapa pananuka mavi, hii si hewa safi.

Halafu wewe unaniambia hapo nime overreact kwa muda nrefu unavuta hiyo hewa na huoni tatizo.

Ukweli kwamba kwa muda mrefu unavuta hewa inayonuka mavi, umeizoea, haumaanishi kuwa hiyo hewa hainuki mavi.

Kuhusisha Waswahiki na unafiki ni makosa, ni ubaguzi wa kikabila na kiutamaduni.

Ni sawa na ubaguzi wa wazu gu dhidi ya watu weusi.

Mbiwe kama mtofo wa mjini, mwanasiasa wa siku nyi gi, mtu anayetakiwa kuijua dunia, alitakiwa kulijua hili.

Wasela wa maskani kijiweni wakisema hivi siwezi kushangaa kwa sababu nitajua ndiyo level yao ya mao gezi kijiweni.

Lakini mtu ambaye kajitanabahisha kama mtu aliyetaka moaka urais w anchi, aneongiza chama cha kitaifa, chama kikuu cha uoinzani, kuanza kuwagawa wananchi kwa kugha kama hizi za kibaguzi ni ujinga.

Ila, tatizo, wabongo wengi, kama wewe, mna standards ndogo, na hamuoni ubaguzi huu kama tatizo.
 
Nakubaliana na wewe; na binafsi sasa natambua maana halisi kuwa ni kama "tamaduni" ya aina yake, siyo lugha pekee.
Ulaghai, uongo, ubabaishaji, hadaa, n.k,

Ni utamaduni unaotokana na mwingiliano na tabia za staarabu za nje zisizokuwa na asili yake afrika.

Kwa mfano: watu wanashupalia AMANI; na wanataka iwepo amani bila kujali kuwa HAKI ipo. Hiyo AMANI misingi yake ni nini?

Watu wanashupaa na "MARIDHIANO"/MAZUNGUMZO", ili kulinda AMANI; wakati wakijuwa kuwa hiyo njia ya maridhiano/mazungumzo ni wao wameshikilia mpini; upande wao ndio wenye HAKI ya kitakachotokea kwenye hayo maridhiano/mazungumzo; hakuna nafasi ya HAKI.

Maana yangu ni kuwa maridhiano/mazungumzo ni mbinu tu inayotumika kupoteza lango la kutafuta HAKI.

Kwa sasa hivi wasimamizi na mifano halisi ya watu wenye tamaduni hii ni Kikwete na Samia, katika ngazi ya watawala, lakini hata ndani ya jamii; na hasa huko BAKWATA, tamaduni hii ipo wazi kabisa, na ndio sababu tunapata matatizo haya tuliyonayo sasa hivi.
 
Muhuni tu uyo akitoka hapoa anaenda kunywa pombe na samia
Sio lazima ikawa hivyo binadamu ana utashi na utambuzi unaomwezeza hata kuacha maslahi binafsi kando na kuyatumikia maslahi ya taifa ama ya wanaodhulumiwa!
 
Pale mnafki anapojaribu kupapatika kwa wananchi wanaoujua unafki wake, ili asionekane mnafki.
 
Natumia mfano mkali ili kuionesha point vizuri.

Hapo ni kama nimekukuta umekaa karibu na choo cha shimo, sehemu inanuka mavi, ila wewe umezoea hiyo harufu.

Halafu, mimi niliyetoka mbali ambaye najua hiyo harufu si ya kawaida, nakwambia hapa pananuka mavi, hii si hewa safi.

Halafu wewe unaniambia hapo nime overreact kwa muda nrefu unavuta hiyo hewa na huoni tatizo.

Ukweli kwamba kwa muda mrefu unavuta hewa inayonuka mavi, umeizoea, haumaanishi kuwa hiyo hewa hainuki mavi.

Kuhusisha Waswahiki na unafiki ni makosa, ni ubaguzi wa kikabila na kiutamaduni.

Ni sawa na ubaguzi wa wazu gu dhidi ya watu weusi.

Mbiwe kama mtofo wa mjini, mwanasiasa wa siku nyi gi, mtu anayetakiwa kuijua dunia, alitakiwa kulijua hili.

Wasela wa maskani kijiweni wakisema hivi siwezi kushangaa kwa sababu nitajua ndiyo level yao ya mao gezi kijiweni.

Lakini mtu ambaye kajitanabahisha kama mtu aliyetaka moaka urais w anchi, aneongiza chama cha kitaifa, chama kikuu cha uoinzani, kuanza kuwagawa wananchi kwa kugha kama hizi za kibaguzi ni ujinga.

Ila, tatizo, wabongo wengi, kama wewe, mna standards ndogo, na hamuoni ubaguzi huu kama tatizo.
Kiranga
English ni imported - messenger wa hii language ni colonizer - ni elimu ililetwa ikawa formal - official- ndiyo maana ikawa standard.

Kiswahili - ni imported + local languages, merchants nk wali form hii language ili waelewane. Informal -?haikuwa na standard kila wakati ilikuwa inaongewa kutokana na mahitaji ya kuelewana.
Haikus na standard kwa wakati ule ingawa iliunganisha locals na wachuuzi.

Tanzania kiswahili kinakubalika. Kenya kinalazimishwa, Uganda wengi hawakubali nayo.

Nakubali kuwa kwa Hali ya nchi ilipo ni sawa na kugawa watu, lakini nani asiyejua kuwa hii language ni informal na haina standard? Mswahili unadefine mwenyewe kutokana na situation iliyopo. Inaweza kuwa constructive au damaging. Hii inaeleweka.

Mtu akisema wewe Mswahili unaweza usirudhike kwa sababu ya doubt.
 
Back
Top Bottom