NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Yupo mnene mmoja alituita sisi watanzania ni "wapumbavu"Natumia mfano mkali ili kuionesha point vizuri.
Hapo ni kama nimekukuta umekaa karibu na choo cha shimo, sehemu inanuka mavi, ila wewe umezoea hiyo harufu.
Halafu, mimi niliyetoka mbali ambaye najua hiyo harufu si ya kawaida, nakwambia hapa pananuka mavi, hii si hewa safi.
Halafu wewe unaniambia hapo nime overreact kwa muda nrefu unavuta hiyo hewa na huoni tatizo.
Ukweli kwamba kwa muda mrefu unavuta hewa inayonuka mavi, umeizoea, haumaanishi kuwa hiyo hewa hainuki mavi.
Kuhusisha Waswahiki na unafiki ni makosa, ni ubaguzi wa kikabila na kiutamaduni.
Ni sawa na ubaguzi wa wazu gu dhidi ya watu weusi.
Mbiwe kama mtofo wa mjini, mwanasiasa wa siku nyi gi, mtu anayetakiwa kuijua dunia, alitakiwa kulijua hili.
Wasela wa maskani kijiweni wakisema hivi siwezi kushangaa kwa sababu nitajua ndiyo level yao ya mao gezi kijiweni.
Lakini mtu ambaye kajitanabahisha kama mtu aliyetaka moaka urais w anchi, aneongiza chama cha kitaifa, chama kikuu cha uoinzani, kuanza kuwagawa wananchi kwa kugha kama hizi za kibaguzi ni ujinga.
Ila, tatizo, wabongo wengi, kama wewe, mna standards ndogo, na hamuoni ubaguzi huu kama tatizo.
Mbona hamkumshambulia?