Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Ubaguzi wa kulundika watu wengi kwa pamoja, kwa rangi, kabila, ethnicity, utaifa, ni jambo baya, ni kasumba. Ndiyo maana hata katiba yetu inekataa ubaguzi huu, hata Universal Declaration of Human Rights inekataa ubaguzi huu.Kiranga
English ni imported - messenger wa hii language ni colonizer - ni elimu ililetwa ikawa formal - official- ndiyo maana ikawa standard.
Kiswahili - ni imported + local languages, merchants nk wali form hii language ili waelewane. Informal -?haikuwa na standard kila wakati ilikuwa inaongewa kutokana na mahitaji ya kuelewana.
Haikus na standard kwa wakati ule ingawa iliunganisha locals na wachuuzi.
Tanzania kiswahili kinakubalika. Kenya kinalazimishwa, Uganda wengi hawakubali nayo.
Nakubali kuwa kwa Hali ya nchi ilipo ni sawa na kugawa watu, lakini nani asiyejua kuwa hii language ni informal na haina standard? Mswahili unadefine mwenyewe kutokana na situation iliyopo. Inaweza kuwa constructive au damaging. Hii inaeleweka.
Mtu akisema wewe Mswahili unaweza usirudhike kwa sababu ya doubt.
Kimantiki ni logical fallacy ya hasty generalization.
Pia ni logical fallacy ya non sequitur.
Hii ni kweli ukiwalundika hivyo watu wowote, Waturuki, Wachina, Wafini, Waswahili.
Mbowe should know better.
Huyu mtu kawa kiongozi wa upinzani bungeni, kawa mgombea wa urais. Kaongiza CHADEMA.
Tulitegemea awe mtu wa mfano hata kwa kauli zake tu. Instead anaongea kama muhuni wa kijiweni tu, tena katika sehemu ya mazishi ya Mzee Mtei.
Huelewi wapi kuwa Mbowe kakosea hapo?
Sasa mkikubali stereotype ya Mbowe halafu mzungu akija akisema these niggers in Africa are lazy napo mtamsema huyu mzungu ni mbaguzi wa rangi?