Ubaguzi wa kulundika watu wengi kwa pamoja, kwa rangi, kabila, ethnicity, utaifa, ni jambo baya, ni kasumba. Ndiyo maana hata katiba yetu inekataa ubaguzi huu, hata Universal Declaration of Human Rights inekataa ubaguzi huu.Kiranga
English ni imported - messenger wa hii language ni colonizer - ni elimu ililetwa ikawa formal - official- ndiyo maana ikawa standard.
Kiswahili - ni imported + local languages, merchants nk wali form hii language ili waelewane. Informal -?haikuwa na standard kila wakati ilikuwa inaongewa kutokana na mahitaji ya kuelewana.
Haikus na standard kwa wakati ule ingawa iliunganisha locals na wachuuzi.
Tanzania kiswahili kinakubalika. Kenya kinalazimishwa, Uganda wengi hawakubali nayo.
Nakubali kuwa kwa Hali ya nchi ilipo ni sawa na kugawa watu, lakini nani asiyejua kuwa hii language ni informal na haina standard? Mswahili unadefine mwenyewe kutokana na situation iliyopo. Inaweza kuwa constructive au damaging. Hii inaeleweka.
Mtu akisema wewe Mswahili unaweza usirudhike kwa sababu ya doubt.
Mbowe ni mpumbavu sana .. ana akili za kike.Mbowe anaibukia kwenye msiba kuyasema haya wakati yakiwepo kwa zaidi ya mwaka?.....
Tukisema anaunga mkono maridhiano yanayopigiwa debe na CCM na yule mzee wa hovyo tutakuwa tumekosea na kustahili kupotezwa au kupewa kesi ya uhaini? 🤔
Hiko unachoki advocate, kufichaficha ukweli kisa utawakwaza watu fulani, ndiyo uswahili wenyewe tunaoongelea.Ndiyo nakwambia hivyo mnavyotumia ni makosa. Na ninategemea wahuni wakiwa kijiweni waseme hivyo, lakini si Mbowe kwenye msiba wa Mtei.
Mbowe should know better.
Hakuna namna ya kutolihusisha neno Mswahili na Kiswahili.
Koswahiki ni lugha ya Mswahili.
Mswahili ni mtu wa Pwani ya Afrika ya Mashariki.
Kuna utamaduni mkubwa na wenye mambo mengi mazuri kwa Waswahili.
Mpaka hiyo lugha aliyotumia Mbowe ni ya Waswahili. Mbowe ni Mchaga wa Machame lakini hakutumia Kichaga hapo kuongea, katumia Kiswahili.
Mbowe amejionesha kuwa ni mtu mjinga sana mwenye mawazo ya kizamani ya ubaguzi wa kikabila na kiutamaduni. Ameweka kasumba ya kuwaweka Waswahili wote kwenye kapu moja, kwamba Uswahiki ni sawa na unafiki.
Ametia doa msiba wa Mzee Mtei, baba mkwe wake, sehemu ambapo alitegemewa kuongea kwa heshima, kaongea kama mubuni yupo kijiweni tu.
Unafiki ni tabia ya mtu, kuna Wachaga wanafiki, kuna Waingereza wanafiki, kuna Wachina wanafiki.
Mbowe amejionesha kuwa liicha ya kukaa mjini siku nyingi na kuwa mwanasiasa mkubwa bado ni mshamba tu.
Wewe unakubali kwamba watu weusi ni wajinga?Hiko unachoki advocate, kufichaficha ukweli kisa utawakwaza watu fulani, ndiyo uswahili wenyewe tunaoongelea.
Kiswahili na Waswahili havina uhusiano wowote zaidi ya maneno hayo kuonekana kufanana.
Kiswahili siyo lugha ya asili ya Waswahili na hata ingekuwa hivyo haiondoi ukweli kuwa desturi na tabia za uswahili zinaleta shida katika jamii ya waliostaarabika.
Hapa tunaongelea tabia ya "uswahili", hakuna mtu ameongelea rangi ya mtu. Na pia sidhani kama hoja ni "ujinga".Wewe unakubali kwamba watu weusi ni wajinga?
Unakatakata viuno tu.Hapa tunaongelea tabia ya "uswahili", hakuna mtu ameongelea rangi ya mtu. Na pia sidhani kama hoja ni "ujinga".
Nafikiri hii mada inazidi upeo wako wa kufikiri au umeweka mbele hisia kuliko tafakuri ya kina.Unakatakata viuno tu.
Uswahili ni utamaduni, ni attribute, unaobusishwa na watu, Waswahili.
Ni attribute ya watu, Waswahili.
Nikikwambia Waafrika (watu) ni wajinga (attribute), utakubali?
Nafikiri hii mada inazidi upeo wako wa kufikiri au umeweka mbele hisia kuliko tafakuri ya kina.
Umehusisha moja kwa moja uswahili na rangi za watu wakati hakuna anayeongelea rangi ya mtu na ukiangalia historia ya waswahili, ni makosa leo kusema eti waswahili ni weusi.
Nyie waswahili wenyewe leo hii watu weusi ule wa kuteleza mnawaona hawana thamani, mnapendelea ngozi ya mtume kama mnavyoiita. Watu wanatumia mikorogo. Wengine wanatumia makeup, mwisho wa siku, uso na mikono havina ushirikiano. Halafu unakuja hapa kutetea watu weusi. Huo ndiyo unafki wa mswahili.
Hao waswahili unaowatetea kwa nguvu zako zote ni kina nani? Umesema wanaongea kiswahili, ila chimbuko la kiswahili ni nini? Kama hao waswahili waliona lugha zao za asili hazitoshi, hadi kuamua kukokotoa maneno kutoka lugha nyingine za kigeni, ni wazi hata hizo "attributes" zao unazojivunia nazo zipo ambazo hazitoshi na hazifai katika dunia ya wastaarabu na hakuna ubaya wa kuzirekebisha au kuziondoa.
Kuweka rekodi sawa, tambua sijamsikia Mbowe akitamka maneno hayo msibani. Mimi nimeyasikia kutoka mwa Jenerali Ulimwengu akimnukuhu Marehemu Mtei. Na nakubaliana na muktadha ambao "uswahili" uliongelewa na Jenerali na Marehemu Mtei.Wewe na huyo Mbowe wako ndio hoja hamna na mada imewapita kimo. Hamna nuance.
Nimeondoa habari ya rangi nimekuuliza ukiambiwa Waafrika ni wajinga utakubali? Hujajibu.
Nikikwambia Watanzania ni wajinga utakubali?
Huna nuance.
Pia hujui fikra dhahania, ukiniona napinga Waswahili kusemwa vibaya ushaniona mimi Mswahili.
Akichuna nongwa akilonga nongwa. Nchi ngumu sana hii.Mbowe anaibukia kwenye msiba kuyasema haya wakati yakiwepo kwa zaidi ya mwaka?.....
Tukisema anaunga mkono maridhiano yanayopigiwa debe na CCM na yule mzee wa hovyo tutakuwa tumekosea na kustahili kupotezwa au kupewa kesi ya uhaini? 🤔
Tabia mbovu ni tabia mbovu.Kuweka rekodi sawa, tambua sijamsikia Mbowe akitamka maneno hayo msibani. Mimi nimeyasikia kutoka mwa Jenerali Ulimwengu akimnukuhu Marehemu Mtei. Na nakubaliana na muktadha ambao "uswahili" uliongelewa na Jenerali na Marehemu Mtei.
Unaendelea kukazania watu specific kama "Watanzania" na "Waafrika" katika mifano yako wakati hapa haijaongelewa jamii yoyote ya watu bali imeongelewa tabia mbofu za uswahili ambayo Ulimwengu katika hotuba yake alifafanua kwa upana maana yake na ni maana ambayo imekuwa inatumika na watu wengi katika jamii yetu.
Haina tofauti sana na kusema mtu fulani amekuwa "americanized", ni kwamba ameonyesha vitabia fulani (nzuri au mbaya) zinazohusishwa na tabia za wamarekani kiujumla ingawa anaweza asiwe mmarekani na asiwe na tabia zote za wamarekani. Huo ndiyo muktadha wa kukemea uswahili.
Badala ya kujisikia vibaya, elekeza nguvu katika kukemea tabia hizo za uswahili. Ni mambo yanayoweka kurekebishika katika ngazi ya malezi na katika misingi ya elimu kuanzia ya awali. Kazi hiyo ikifanyika, kizazi kimoja tu kikipita unakuwa na jamii tofauti kabisa na tutaweza kubadili maana ya uswahili iwe na maana ya heshima zaidi na haitahitaji nguvu kubwa kuitetea maana utajitetea wenyewe.
Wanaokemea uswahili wanakemea tabia mbovu ambazo kwa mtazamo wao wameziona kwa waswahili na huko kwingine hawaonekani kuwa nazo.Tabia mbovu ni tabia mbovu.
Jamii zote zina watu wenye tabia mbovu.
Jamii zote zina watu wenye tabia nzuri.
Uswahili ni Uswahili. Uswahili si tabia mbovu.
Kwa nini unaona kuunganisha Uswahili na tabia mbovu ni sawa?
Hao watu wote wenye tabia mbovu dunia nzima ni Waswahili?
Japan inasif8ka kwa kuwa na watu wenye uadikifu na tabia nzuri, lakini ina washenzi pia, kina Yajuza.
Sasa wale Yakuza wa Japan ni Waswahili?
Kuunganisha Uswahili na tabia mbovu ni logical non sequitur fallacy.Wanaokemea uswahili wanakemea tabia mbovu ambazo kwa mtazamo wao wameziona kwa waswahili na huko kwingine hawaonekani kuwa nazo.
Hizo tabia siyo asili yetu kama unavyodhani, inawezekana ni tabia zilizozalishwa na mifumo ya siasa (to be specific, ya ujamaa na kujitegemea) au ya elimu kwa hiyo hautakiwi kuchukulia "personal" pale inapokosolewa maana watu hawakosoi uumbaji wa Mungu kama ulivyotaka kuipeleka mada hii bali wanakosoa vitu ambavyo kama jamii ya wastaarabu wanatakiwa ku "evolve".
Tabia za Uswahili tunazokemea ni pamoja na hizi unazozionyesha hapa za kujifanya uko sawa ila jamii yako imejaa mila, desturi za kukopa kutoka kwingine. Kama uliweza kuweka majivuno pembeni ukawa tayari kukopa hivyo vyote, unashindwaje kukopa hivi vingine ili uondokane na uswahili?
Umenikumbusha hotuba ya Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy aliyoitoa Senegal. Wanazuoni wa Kiafrika wakamshambulia sana. Majivuno hayajengi.
Uzuri wanaoukosoa uswahili ni waswahili wenyewe. Jamii isiyotaka kubadilika ni jamii mfu.Kuunganisha Uswahili na tabia mbovu ni logical non sequitur fallacy.
Ni ubaguzi. Ni ushamba. Ni kukosa nuance.
Tabia mbovu ni tabia mbovu kuna watu wa kila utamaduni wana tabia mbovu.
Huelewi wapi?
Kiranga yupo sahihi. Neno la kawaida litakaposemwa na baadhi ya watu linachukuliwa kwa uzito tofauti. Mfano, siku Mwl Nyerere alipo ongelea 'utapeli'' neno hilo likashika kasi hadi leo. Siku alipoongelea kung'atuka ikawa hivyo. Kwa kiongozi kama Mbowe alipolitamka linabeba uzito unaotafsriwa tofauti. Think about this, aliyesema ni Jenerali na hakuna anayemtaja. Haikuwa sahihi Mbowe kusemaHapa ume over-react, Kwa muda mrefu wa maisha yangu na kila siku huwa nasikia “yule Mswahili” hasa yule mtu akiwa anaongea sana. Yule mtu aingeaye kiswahili nadhifu cha pwani, na mara nyingi ni kukutahadharisha uwe makini na huyo muongeaji.
Nafikiri hii lugha zamani wazungumzaji walitumia kudanganya watu. Hasa kwa wale waliokuwa hawajui hii lugha walidanganywa.
Tatizo lako huijui dunia. Ndiyo maana hata kukuelewesha ni tabu.Uzuri wanaoukosoa uswahili ni waswahili wenyewe. Jamii isiyotaka kubadilika ni jamii mfu.
Je Wajapani au Wamarekani wanaendekeza unafki, kuahidi na kutotekeleza jambo, kutojali muda na tabia zingine alizozitaja Ulimwengu?
Je, kutokuwepo tabia hizo siyo moja ya nguzo na sababu za kuendelea kwa mataifa hayo?
Matatizo mengi ya Tanzania yanaanzia katika fikra na tabia za Mtanzania na ili kuyabadilisha hayo haitakiwi kurembaremba wala kuweka majivuno mbele maana wahenga walisema majivuno ni mjukuu.
Mimi wala wanaokosoa uswahili hawawasemi watu fulani wabaya katika jamii wa Waswahili bali wanaongelea tabia zilizoota mizizi katika jamii hiyo na zilizokubalika kama ni tabia za kawaida zinazoifanya ishindwe kusonga mbele. Ukiwasikiliza kwa makini watu wanaokosoa uswahili wanafanya kwa nia nzuri kabisa na siyo kwa nia ya kuidharau wala kuibagaza jamii hiyo.Tatizo lako huijui dunia. Ndiyo maana hata kukuelewesha ni tabu.
Nimekwambia katika kila jamii kuna watu wabaya na wazuri.
Wewe unaniuliza hivi Wamarekani na Wajapani wanaendekeza unafiki.
Unafiki wa Marekani mpaka leo hujauelewa bado? Unataka mimi nikueleze jinsi CIA ya Marekani ilivyopindua serikali kuanzia Chile kwa Allende mpaka Congo kwa Mobutu huku Marekano ikihubiri demokrasia?
Unamjua Allende ni nani? Maana naona tatizo hapa najibizana na mtu asiyeijua dunia.
Achana na ordinary meaning ya Mswahili, neno "uswahili " lina extended meaning ya jambo ambalo halijanyooka au chenga kwa maneno mengine. Sio lugha rasmi ila huwa linatumika hata bara katika kumaanisha vitu vya namna hiyo. Pia unaweza kusikia mtu anasema, kwa mfano, " huyu mtu madaktari hawajaona ugojwa wowote hivyo itakuwa ni mambo ya kiswahili", hapo ujue ni mtu kapigwa zongo/faNdiyo nakwambia hivyo mnavyotumia ni makosa. Na ninategemea wahuni wakiwa kijiweni waseme hivyo, lakini si Mbowe kwenye msiba wa Mtei.
Mbowe should know better.
Hakuna namna ya kutolihusisha neno Mswahili na Kiswahili.
Koswahiki ni lugha ya Mswahili.
Mswahili ni mtu wa Pwani ya Afrika ya Mashariki.
Kuna utamaduni mkubwa na wenye mambo mengi mazuri kwa Waswahili.
Mpaka hiyo lugha aliyotumia Mbowe ni ya Waswahili. Mbowe ni Mchaga wa Machame lakini hakutumia Kichaga hapo kuongea, katumia Kiswahili.
Mbowe amejionesha kuwa ni mtu mjinga sana mwenye mawazo ya kizamani ya ubaguzi wa kikabila na kiutamaduni. Ameweka kasumba ya kuwaweka Waswahili wote kwenye kapu moja, kwamba Uswahiki ni sawa na unafiki.
Ametia doa msiba wa Mzee Mtei, baba mkwe wake, sehemu ambapo alitegemewa kuongea kwa heshima, kaongea kama mubuni yupo kijiweni tu.
Unafiki ni tabia ya mtu, kuna Wachaga wanafiki, kuna Waingereza wanafiki, kuna Wachina wanafiki.
Mbowe amejionesha kuwa liicha ya kukaa mjini siku nyingi na kuwa mwanasiasa mkubwa bado ni mshamba tu.