Kushutumu jamii nzima kuwa wana tabia mbovu ni ibaguzi. Ni ushamba, ni kasumba.Mimi wala wanaokosoa uswahili hawawasemi watu fulani wabaya katika jamii wa Waswahili bali wanaongelea tabia zilizoota mizizi katika jamii hiyo na zilizokubalika kama ni tabia za kawaida zinazoifanya ishindwe kusonga mbele. Ukiwasikiliza kwa makini watu wanaokosoa uswahili wanafanya kwa nia nzuri kabisa na siyo kwa nia ya kuidharau wala kuibagaza jamii hiyo.
Theodore Roosevelt ndiye alianzisha foreign policy ya Marekani ya kulinda interest za Marekani dunia nzima na wamarekani waliliweka hilo wazi hawakuficha, unafki uko wapi hapo?
Halafu kutumia mfano wa CIA na serikali ya Marekani kama ushahidi wa tabia ya jamii ya watu wa Marekani umenishangaza sana. Unataka kusema tabia za CCM, serikali zake na dola zake zinashabihiana na tabia za Watu wa Tanzania? Come on Kiranga, you're better than this!
Umesema wajapan ni wabunifu. Unaona kitu cha kwanza ulichokumbuka kama utambulisho wa Wajapan ni sifa njema ya ubunifu pamoja na kwamba kuna baadhi ya watu katika jamii zao ambao kwa maoni yako wana tabia mbaya?Kushutumu jamii nzima kuwa wana tabia mbovu ni ibaguzi. Ni ushamba, ni kasumba.
Tabia mbaya na nzuri zipo katika kila jamii, kwa watu fulani.
Huelewi wapi hili jambo rahisi tu?
Hiyo extenxed neaning ndiyo offensive.Achana na ordinary meaning ya Mswahili, neno "uswahili " lina extended meaning ya jambo ambalo halijanyooka au chenga kwa maneno mengine. Sio lugha rasmi ila huwa linatumika hata bara katika kumaanisha vitu vya namna hiyo. Pia unaweza kusikia mtu anasema, kwa mfano, " huyu mtu madaktari hawajaona ugojwa wowote hivyo itakuwa ni mambo ya kiswahili", hapo ujue ni mtu kapigwa zongo/fa
Wewe tatizo lako hujui hata kusoma kwa ufahamu.Umesema wajapan ni wabunifu. Unaona kitu cha kwanza ulichokumbuka kama utambulisho wa Wajapan ni sifa njema ya ubunifu pamoja na kwamba kuna baadhi ya watu katika jamii zao ambao kwa maoni yako wana tabia mbaya?
Basi ungana na wanaokosa tabia mbofu za uswahili ambazo zimeota mzizi hadi kuwa utambulisho wao ili Uswahili nao ukitajwa tuutambue kwa sifa njema halafu ndiyo tuseme "waswahili wabaya pia wapo".
Kosa langu, ulisema "wajapan wanasifika kwa kuwa na watu waadilifu na wenye tabia nzuri". Unaona point yangu iko pale pale.Wewe tatizo lako hujui hata kusoma kwa ufahamu.
Wapi nimesema Wajapani ni wabunifu?
HIM Haile Selassie alikwenda Umoja wa Mataifa na kuihubiria dunia kuwa mpaka falsafa ya watu wa kabila fulani kujiona wao ni bora zaidi ya wengine itakapofikia mwisho, kukosolewa , kuachwa na kumalizwa kabisa, kila sehemu kutakuwa na vita.Umesema wajapan ni wabunifu. Unaona kitu cha kwanza ulichokumbuka kama utambulisho wa Wajapan ni sifa njema ya ubunifu pamoja na kwamba kuna baadhi ya watu katika jamii zao ambao kwa maoni yako wana tabia mbaya?
Basi ungana na wanaokosa tabia mbofu za uswahili ambazo zimeota mzizi hadi kuwa utambulisho wao ili Uswahili nao ukitajwa tuutambue kwa sifa njema halafu ndiyo tuseme "waswahili wabaya pia wapo".
Kuunganisha Uswahili na mabaya ni makosa. Ni logical non sequitur fallacy.Kosa langu, ulisema "wajapan wanasifika kwa kuwa na watu waadilifu na wenye tabia nzuri". Unaona point yangu iko pale pale.
Pamoja na kwamba una muendelezo wa kimakosa wa kuattach Uswahili na Waswahili, tupambane ili uswahili nao usifike kwa mazuri kwanza na mabaya yahusishwe kwa watu fulani au ibaki sifa ya mtu mmoja mmoja na siyo jamii nzima. Hilo halitafanikiwa kwa kukataa ukweli au kujivika sura ya majivuni bali kwa kuwa tayari kwa "self-critique" kama Sakorzy alivyotuambia Waafrika.
Kwani Jenerali Ulimwengu ni mchaga? Huyo Mbowe siyo wa kwanza kuongelea tabia za uswahili kama tabia mbaya zinazotuchelewesha. Jamii ya Kitanzania imekuwa inakosoa tabia za uswahili kwa miaka mingi na haijawahi kuonekana kama ni kuwabagaza waswahili au kutaka kuanzisha vita ya kikabila.HIM Haile Selassie alikwenda Umoja wa Mataifa na kuihubiria dunia kuwa mpaka falsafa ya watu wa kabila fulani kujiona wao ni bora zaidi wengine itakapofikia mwisho, kukosolewa , kuachwa na kumalizwa kabisa, kila sehemu kutakuwa na vita.
Bob Markey akaiweka hotuba kwenye wimbo wa "War" watu wengi zaidi wasikilize maneno ya busara ya Haile Selassie.
Mpaka leo hamjajifunza.
Mbowe anataka kuanzisha vita for free.
Waafrika wengi ni rahisi sana kuona ubaguzi Mzungu akimbagua Muafrika.
Lakini wanafumbia macho ubaguzi wa Mchaga kumbagua Mswahili.
Wakati wote ni ubaguzi tu.
View: https://youtu.be/4XHEPoMNP0I?si=X5ekPwZrXZvmUgpR
You are all over the place.Kwani Jenerali Ulimwengu ni mchaga? Huyo Mbowe siyo wa kwanza kuongelea tabia za uswahili kama tabia mbaya zinazotuchelewesha. Jamii ya Kitanzania imekuwa inakosoa tabia za uswahili kwa miaka mingi na haijawahi kuonekana kama ni kuwabagaza waswahili au kutaka kuanzisha vita ya kikabila.
Mbona haujamkosoa Marehemu Mtei au Jenerali Ulimwengu?
Nimekuuliza Jenerali Ulimwengu maana naona umemkomalia Mbowe wakati katika huo msiba, Jenerali naye aliongelea Uswahili (na kama sikosei Mbowe alikuwa anaunga mkono na kukazia ambacho Jenerali alikuwa amekisema hapo kabla).You are all over the place.
Huwezi kufikiri kidhahania. Jenerali Ukimwengu asipokuwa Mchaga maana yake nini?
Nakwambia ni vibaya Mbowe kuunganisha tabia mbaya na Uswahili wakati hata kwao Machame Uchagani kuna watu wana tabia mbaya na si Waswahili.
Huelewi wapi?
Nimesema huna uwezo wa kufanya abstract thinking, fikra za kidhahania.Nimekuuliza Jenerali Ulimwengu maana naona umemkomalia Mbowe wakati katika huo msiba, Jenerali naye aliongelea Uswahili (na kama sikosei Mbowe alikuwa anaunga mkono na kukazia ambacho Jenerali alikuwa amekisema hapo kabla).
Mimi siyo mfuasi wa Mbowe na nina posts nyingi nimezileta humu dhidi yake ila naona hili suala linakuendesha zaidi kwa sababu ya hisia zako hasi dhidi ya Mbowe na siyo muktadha za kinachoongelewa.
Nimekuuliza waswahili ni kina nani, haujanijibu mpaka sasa. Hakuna kabila la Waswahili na mtu wa kabila yoyote anaweza kuhusishwa na uswahili kama utaonyesha tabia zinazohusishwa na huo uswahili.Nimesema huna uwezo wa kufanya abstract thinking, fikra za kidhahania.
Na hapa unapokazania majina ya watu ndiyo unaonesha hili.
Kufanya ubaguzi wa kulundika watu kijamii na kuhusisha jamii yao na tabia mbaya ni kosa, kifalsafa, kimantiki.
Ni logical non sequitur fallacy.
Aseme Mbowe ni hivyo hivyo, aseme Dunia ni hivyo hivyo, aseme Ulimwengu ni hivyo hivyo.
Huelewi wapi?
Wewe hujui hata Waswahili ni kina nani hujapata alama za kuweza kufanya mazungumzo haya.Nimekuuliza waswahili ni kina nani, haujanijibu mpaka sasa. Hakuna kabila la Waswahili na mtu wa kabila yoyote anaweza kuhusishwa na uswahili kama utaonyesha tabia zinazohusishwa na huo uswahili.
Nimekumbuka hata Lowassa aliwahi kuongelea tabia mbaya za uswahili. Mara zote uswahili unapokemewa, watu huwa wanaangua kicheko maana kinachosemwa huwa ni kweli. Ukisimama hadharani ukatoa povu kutetea uswahili, jamii ya Watanzania itakushangaa sana.
Unalazimisha mjadala ambao haupo. Watu wanaongelea "Uswahili", wewe umekazania "Waswahili".Wewe hujui hata Waswahili ni kina nani hujapata alama za kuweza kufanya mazungumzo haya.
Unaendekeza self hatred za kijinga, za kasumba, za logical non sequitur fallacy.
Wewe sikulaumu sana inawezekana ni mtu mjingamjinga wa hapa JF tu.
Huyo Mbowe mtu aliyeongoza chama, aliyetaka urais, asiyeelewa uongozi ni kuwainganisha watu, si kubaguana kwa hizi kauli za self hatred ndiye namshangaa.
Hizo tabia mnazozema ni za Waswahili, tukitafuta tabia mbaya tutazipata dunia nzima.
Sasa kwa nini mnawalimbikizia hizi tabia Waswahili?
Yani hapa tunaweza kuanza kusema Wachaga nao mbona wezi na Mbowe anawasema Waswahili, huo nao si unafiki anaousema ni tabia ya Waswahili?
Sasa hapo Mbowe Mswahili naye kwa unafiki huo?
Hakuna Uswahili bila Waswahili.Unalazimisha mjadala ambao haupo. Watu wanaongelea "Uswahili", wewe umekazania "Waswahili".
Jenerali Ulimwengu, Edwin Mtei (kwa mujibu ya stori na nukuhu ya Jenerali pale msibani), Lowassa na watu wengi katika jamii katika nyakati tofauti, wote hawa hakuna aliyetoka hadharani akawasema vibaya "Jamii ya Waswahili".
Kwa kukazia, hakuna mtu ambaye anajitambulisha ni Mswahili. Hakuna mazingira yoyote rasmi ambayo unaweza ukajitambulisha hivyo. Hakuna sehemu yoyote rasmi utaulizwa asili yako halafu ukajibu ni Mswahili au Uswahili.
Unalikuza jambo na kulipeleka sehemu ambako hata hao unaoita waswahili unaowatetea, wakikusikia watakushangaa.
Hahah wewe jamaa bwana utakuwa ni Mluguru au sijui kabila gani wanaosemekana ni wabishi (umeona nilichofanya hapa?).Hakuna Uswahili bila Waswahili.
Waswahili ni watu wa Pwani ya Afrika Mashariki. Huu ni mpambano wa kijinga wa watu wa bara na pwani. You know it.
Acha mazingaombwe.
Kama hakuna mtu anayejitambulisha kama Mswahili, basi wasemeni walaghai, wanafiki, msiwaseme Waswahili. Kwa sababu hakuna mtu anayejitambulisha kuwa ni Mswahili.
Once again, huna uwezo wa kujadili hoja dhahania.
Huelewi kuwa hata hao Waswahili wasipoelewa ubaguzi huu, wasipokubali kuwa huu ni ubaguzi, huu bado unakuwa ubaguzi tu.
Ukweli kwamba hawajaelewa au kukubali kuwa huu ni ubaguzi hauondoi ubaguzi.
Yani mzungu akija hapa akasema Waafrika ni wajinga, wewe kama ni zuzu, ukamkubalia, kumkubalia kwako hakufanyi alichosema kisiwe ubaguzi.
Unajenga hoja dhaifu sana. Ndiyo maana hatuelewani.
Hakuna Uswahili bila Waswahili.Hahah wewe jamaa bwana utakuwa ni Mluguru au sijui kabila gani wanaosemekana ni wabishi (umeona nilichofanya hapa?).
Hoja yangu na hao unaowashutumu inabaki pale pale, inahusu Uswahili siyo Waswahili. Nadhani ufanano wa haya maneno mawili umekuchanganya sana.
Hakuna mtu aliyetoka kuwasema vibaya Waswahili na hili nimelirudia kulisema mara kwa mara, ni wewe umejenga hoja yako katika msingi wa kitu ambacho hakipo na unalazimisha iwe hivyo wakati evidence zilizopo hazikusapoti.
Kwa akili yako, unadhani watu wanaojua siasa za Tanzania kama kila Jenerali Ulimwengu, Edwin Mtei au Lowassa watoke bila sababu za msingi waishambulie na waiseme vibaya jamii fulani ya Watanzania bila kujua gharama za kisiasa watakazokumbana nazo?
Itakuwa umekuwa unaishi mashimoni kama hii ni mara ya kwanza kusikia watu wanaongelea kuhusu "uswahili" katika muktadha aliousema Jenerali Ulimwengu maana ni jambo ambalo hata watanzania wa kawaida wamekuwa wanayasema katika maisha yao ya kila siku.
Lakini hao unaowakosoa wamesema wazi wanaongelea "Uswahili". Kama unadhani uswahili haupo, nini kinakukwaza hadi unatoa povu kiasi hiki na kulazimisha mada ihusiane na Waswahili wakati hakuna aliyewataja hao Waswahili?Hakuna Uswahili bila Waswahili.
Huelewi wapi?
Uswahili ni zao la Waswahili.Lakini hao unaowakosoa wamesema wazi wanaongelea "Uswahili". Kama unadhani uswahili haupo, nini kinakukwaza hadi unatoa povu kiasi hiki na kulazimisha mada ihusiane na Waswahili wakati hakuna aliyewataja hao Waswahili?
Hivi kule jela walimfanya nini yule mzee wa kushindia mihogo? Maana, Hasikiki tena na Wala kwenye msiba wa mzee Mtei hakuwepo.Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa taifa bado lina maumivu makubwa, akibainisha kuwa wapo watu walioko magerezani ambao wanastahili kula matunda ya nchi yao pamoja na Watanzania wenzao.
Ameyasema hayo leo wakati wa msiba wa Mzee Mtei unaofanyika Tengeru, mkoani Arusha.