NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Yupo mnene mmoja alituita sisi watanzania ni "wapumbavu"Natumia mfano mkali ili kuionesha point vizuri.
Hapo ni kama nimekukuta umekaa karibu na choo cha shimo, sehemu inanuka mavi, ila wewe umezoea hiyo harufu.
Halafu, mimi niliyetoka mbali ambaye najua hiyo harufu si ya kawaida, nakwambia hapa pananuka mavi, hii si hewa safi.
Halafu wewe unaniambia hapo nime overreact kwa muda nrefu unavuta hiyo hewa na huoni tatizo.
Ukweli kwamba kwa muda mrefu unavuta hewa inayonuka mavi, umeizoea, haumaanishi kuwa hiyo hewa hainuki mavi.
Kuhusisha Waswahiki na unafiki ni makosa, ni ubaguzi wa kikabila na kiutamaduni.
Ni sawa na ubaguzi wa wazu gu dhidi ya watu weusi.
Mbiwe kama mtofo wa mjini, mwanasiasa wa siku nyi gi, mtu anayetakiwa kuijua dunia, alitakiwa kulijua hili.
Wasela wa maskani kijiweni wakisema hivi siwezi kushangaa kwa sababu nitajua ndiyo level yao ya mao gezi kijiweni.
Lakini mtu ambaye kajitanabahisha kama mtu aliyetaka moaka urais w anchi, aneongiza chama cha kitaifa, chama kikuu cha uoinzani, kuanza kuwagawa wananchi kwa kugha kama hizi za kibaguzi ni ujinga.
Ila, tatizo, wabongo wengi, kama wewe, mna standards ndogo, na hamuoni ubaguzi huu kama tatizo.
Yupo mnene mmoja alituita sisi watanzania ni "wapumbavu"
Mbona hamkumshambulia?
Halafu na wewe acha "u Swahili" bwana. Unaulizaje swali ambalo maana yake unaifahamu?Mnene gani?
Unaposema hamkumshambulia unamaanisha nani?
Una ushahidi gani kwamba hakushambuliwa?
Na kama hakushambuliwa, kosa ambalo lilifanyika na halikukemewa linahalalishaje kosa lingine kufanyika?
Huoni kwamba hata kama hakushambuliwa, pengine hilo ndilo tatizo ketu, inabidi tukemee hizi kauki za matusi?
Unaelewa "Whataboutism" ni nini?
Umekubali kuwa kulinganisha Uswahili na unafiki ni kosa?
Wewe tu hujasoma falsafa.Halafu na wewe acha "u Swahili" bwana. Unaulizaje swali ambalo maana yake unaifahamu?
Socrates hakuwa Mswahili (mtu wa pwani ya EA) lakini alikuwa na uswahili mwingi (tabia kama za Mswahili).Wewe tu hujasoma falsafa.
Hayo maswali yaliulizwa hata na Socrates.
Socrates naye alikuwa Mswahili?
I rest my case.Socrates hakuwa Mswahili (mtu wa pwani ya EA) lakini alikuwa na uswahili mwingi (tabia kama za Mswahili).
Manenno mengi, ujuaji mwingi ulaghai etc na ndiyo maana walimuulia mbali
Thank youI rest my case.
Mswahili hawezi kuwa mjinga, mjinga ni victim. Neno Mswahili linatumika tu wakati kuna ujanjaujanja wa lugha, swali lako liko irrelevant hapa. Mswahili ni mtu mjanja na mfaidikaji wa uongo wake. Victims wake ni pamoja na wajinga.Unakatakata viuno tu.
Uswahili ni utamaduni, ni attribute, unaobusishwa na watu, Waswahili.
Ni attribute ya watu, Waswahili.
Nikikwambia Waafrika (watu) ni wajinga (attribute), utakubali?
Mwandishi hapo kakuuliza nani ni mswahili, hujasema. Mswahili ni mtu anayetumia kiswahili (lugha) kudanganya, kulaghai, kusema uongo? kuiba, kwa ujanja ujanja? inawezekana. Ni kabila - hapana. Lakini kweli kuna waswahili, na jamii inakubaliana kuna waswahili. Na wewe unamjua nani ni mswahili.Kushutumu jamii nzima kuwa wana tabia mbovu ni ibaguzi. Ni ushamba, ni kasumba.
Tabia mbaya na nzuri zipo katika kila jamii, kwa watu fulani.
Huelewi wapi hili jambo rahisi tu?
Kuna hoja ilitoka kwake kua Chadema wasikubari maridhiano ikiwa hawajaona nia ya dhati kutoka chama tawalaMbowe anaibukia kwenye msiba kuyasema haya wakati yakiwepo kwa zaidi ya mwaka?.....
Tukisema anaunga mkono maridhiano yanayopigiwa debe na CCM na yule mzee wa hovyo tutakuwa tumekosea na kustahili kupotezwa au kupewa kesi ya uhaini? 🤔
Kulundika jamii nzima na kuipa tabia mbaya ni makosa, ni ubaguzi, ni kasumba.Mswahili hawezi kuwa mjinga, mjinga ni victim. Neno Mswahili linatumika tu wakati kuna ujanjaujanja wa lugha, swali lako liko irrelevant hapa. Mswahili ni mtu mjanja na mfaidikaji wa uongo wake. Victims wake ni pamoja na wajinga.
Mwandishi hapo kakuuliza nani ni mswahili, hujasema. Mswahili ni mtu anayetumia kiswahili (lugha) kudanganya, kulaghai, kusema uongo? kuiba, kwa ujanja ujanja? inawezekana. Ni kabila - hapana. Lakini kweli kuna waswahili, na jamii inakubaliana kuna waswahili. Na wewe unamjua nani ni mswahili.
Kwani alilazimishwa na mtu kuingia kwenye siasa? Kama angeendelea kuwa DJ kuna mtu angemsumbua? Siasa inagusa maslahi ya watu wengi ndio maana maneno yake kama mwanasiasa yanapimwa na kuwekewa rakiri.Akichuna nongwa akilonga nongwa. Nchi ngumu sana hii.