Yeye katoka kawasemea, wahusika wapo kimya. Labda useme ni muongo wahusika hawaumizwi na Tozo ni kiherehere chake.Hajaombwa lakini, angeweza kukaa kimya tu kama wenzake akina Zito, Tundu Lisu & Co. wakiendelea kula matunda ya kazi yao hamna haja ya kujifanya unajali matatizo ya watu wakati ni uongo, it’s just not right!

He is right
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili.
Hizi hapa nukuu za Mbowe...
“Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga.
Kuna wakati nakwazika sana kwa kazi ninayofanya mnapokuwa waoga na hofu, halafu mnalalamika.
Hao wanaowatoza kodi hiyo wanakwenda kununua V8 ya Shilingi Milioni 450 au 500, mtu ambaye angekuwa nyumbani kwa mumewe au mkewe asingeweza kununua V8.
Lakini kwa kuwa kuna pesa ya Wajinga Watanzania wanaweza kununua gari la kumpa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Jaji kila mmoja.
Jiulizeni ni Wafanyabiashara wangapi ambao wana uwezo wa kuendesha magari mapya?
Magari mapya Nchi hii ni mali ya viongozi wa Serikali, na mnavyokaa kimya mambo haya ndiyo yanaendelea, mnatakiwa kuamka.
Kama mnataka kuibadilisa Nchi hii lazima tuache woga, lazima viongozi wa dini muongee.
Nilimwambia Rais Samia hii simulizi ya ‘amani’ ‘amani’ ‘amani’ ni kupoteza muda, simulizi sahihi ni haki haki haki.
Kuwepo na haki kwa watu wote litakuwa tafa bora la kuishi. Watanzania wameangalia uchaguzi wa Kenya kila mmoja ametamani, ulikuwa wa wazi hakuna mizengwe
si ujumbe mmeshaupata!Baadae atampigia mama simu amwambie asimuelewe vibaya, ameamua kujitokeza ili kuwazubaisha na kuwahadaa wadanganyika, baada ya malalamiko mengi juu ya ukimya wake.
Kama mnataka kuibadilisa Nchi hii lazima tuache woga, lazima viongozi wa dini muongee.
unaishi wapi wewe? Hata walioko nje ya Tanzania wanajua Mbowe alivyosota lupangoAnatuambia sisi tuache uoga, Je yeye ujasiri wake anautumia wapi?
Je, yeye haumizwi na tozo?
Wakishakula vizuri wanasahauHili pia wana wa mtaa wa Lumumba mlisikilize kwa umakini maana la serikali kutekeleza tozo zinazofanya maisha kuwa magumu mara mbili halina siasa za uvyama.
Kweli mkuuKuwatetea watanzania na utegemee wakuunge mkono ni sawa na kusubiri embe chini ya Mwarobaini au kupiga mbizi kwenye lami.
Watanzania ni wanafiki wa kutupwa
Namshauri Mbowe aendelee na Biashara zake na aipe muda familia yake kufurahia naye maisha,ametumia muda mwingi kutetea wanafiki.
CCM itaondoka siku JWTZ wakielewa wajibu wao wa kulinda katiba kwa kuelewa yaliyoandikwa ndani na siyo kusoma cover la nje tu
Na wachungaji/viongozi wa diniJWTZ,POLISI ,WALIMU wanachelewesha maendeleo
Ninachofikiria Mimi nikuwa wananchi tumeacha kuamini wanasiasa na siyo kwamba sisi ni waoga. Kumbuka kipindi cha Dr. Slaà Maandamano yalikuwa daily. Lakini baada ya Babu wa Monduli chama kikàpoteza mwelekeoNi kweli kuwa wananchi ni waoga ila siamini kama Chadema inaweza fanya jambo lolote la maana katika Taifa letu kwa sasa.
Chadema imeshindwa kufanya lolote ilipokuwa ya moto kwa sasa viongozi wake wakuu wamejichokea na kukata tamaa.
Uwajui watanzania wewe watakujaza upepo ila yakikukuta hautamwona hata mmoja, by the way kwanini usianze kujitoa muhanga wewe tukuunge mkono?Ni kweli wakijitoa muhanga wataungwa mkono hususa kipindi hiki
Mwamba kama Mwamba mwenyewe yaani !!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili.
Hizi hapa nukuu za Mbowe...
“Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga.
Kuna wakati nakwazika sana kwa kazi ninayofanya mnapokuwa waoga na hofu, halafu mnalalamika.
Hao wanaowatoza kodi hiyo wanakwenda kununua V8 ya Shilingi Milioni 450 au 500, mtu ambaye angekuwa nyumbani kwa mumewe au mkewe asingeweza kununua V8.
Lakini kwa kuwa kuna pesa ya Wajinga Watanzania wanaweza kununua gari la kumpa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Jaji kila mmoja.
Jiulizeni ni Wafanyabiashara wangapi ambao wana uwezo wa kuendesha magari mapya?
Magari mapya Nchi hii ni mali ya viongozi wa Serikali, na mnavyokaa kimya mambo haya ndiyo yanaendelea, mnatakiwa kuamka.
Kama mnataka kuibadilisa Nchi hii lazima tuache woga, lazima viongozi wa dini muongee.
Nilimwambia Rais Samia hii simulizi ya ‘amani’ ‘amani’ ‘amani’ ni kupoteza muda, simulizi sahihi ni haki haki haki.
Kuwepo na haki kwa watu wote litakuwa tafa bora la kuishi. Watanzania wameangalia uchaguzi wa Kenya kila mmoja ametamani, ulikuwa wa wazi hakuna mizengwe
Bilionea Mbowe inasemekana ndio raia wa kwanza Tanzania kuomba Kibali ikulu ya Nyerere ili aagize gari kutoka UlayaNdugu Mbowe anatumia gari aina Gani? Kabla hatujajadili V8 alonunua mwigu Kwa Kodi zetu!!
Tuanzie hapo.
Ni kweli kuwa wananchi ni waoga ila siamini kama Chadema inaweza fanya jambo lolote la maana katika Taifa letu kwa sasa.
Chadema imeshindwa kufanya lolote ilipokuwa ya moto kwa sasa viongozi wake wakuu wamejichokea na kukata tamaa.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili.
Hizi hapa nukuu za Mbowe...
“Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga.
Kuna wakati nakwazika sana kwa kazi ninayofanya mnapokuwa waoga na hofu, halafu mnalalamika.
Hao wanaowatoza kodi hiyo wanakwenda kununua V8 ya Shilingi Milioni 450 au 500, mtu ambaye angekuwa nyumbani kwa mumewe au mkewe asingeweza kununua V8.
Lakini kwa kuwa kuna pesa ya Wajinga Watanzania wanaweza kununua gari la kumpa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Jaji kila mmoja.
Jiulizeni ni Wafanyabiashara wangapi ambao wana uwezo wa kuendesha magari mapya?
Magari mapya Nchi hii ni mali ya viongozi wa Serikali, na mnavyokaa kimya mambo haya ndiyo yanaendelea, mnatakiwa kuamka.
Kama mnataka kuibadilisa Nchi hii lazima tuache woga, lazima viongozi wa dini muongee.
Nilimwambia Rais Samia hii simulizi ya ‘amani’ ‘amani’ ‘amani’ ni kupoteza muda, simulizi sahihi ni haki haki haki.
Kuwepo na haki kwa watu wote litakuwa tafa bora la kuishi. Watanzania wameangalia uchaguzi wa Kenya kila mmoja ametamani, ulikuwa wa wazi hakuna mizengwe
Najua Mbowe ni TAJIRI.wewe fuas la walamba asali unafikir mbowe ni masikin kama ulivyo wewe na uchawa wako.
Ni sawa, huo ni utajiri binafsi wa Mbowe.Bilionea Mbowe inasemekana ndio raia wa kwanza Tanzania kuomba Kibali ikulu ya Nyerere ili aagize gari kutoka Ulaya
Amenunua Kweli, tena bila aibu wananchi wakililia kupaa Bei za mafuta na tozo.Hio V8 alionunua Mwigulu mbona inasemwa midomoni tu sijawahi hata kuona picha yake