Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Fanya wewe,achana na Chadema,unaitegemea Chadema ifanye jambo wakati wewe umejifungia chumbani kwako
.Mwamba katetema,,
Najua Mbowe ni TAJIRI.
Ninachopinga ni Mbowe huyo huyo aliekopeshwa V8 akiwa Waziri mkuu KIVULI Kambi ya upinzani na wabunge wote wa upinzani waliyapokea bila kukataa.
Leo wanapata wapi mamlaka ya kuhoji magari ya mawaziri ya kifahari.
Jambo hili mwenye Uhalali wa kuhoji ni MWANANCHI anaekamuliwa.
Katika Katiba mpya tusiwaachie wanasiasa watusemee sababu yapo yanayowanufaisha hawawezi yasimamia.
Naichukia sana CCM naiombea IFE, bt pia Nawakosoa Upinzani Ili wakae Kwa mstari wanapopotoka.
Ameeeen.
Tatizo sisi wadanganyika hatujui nini tunataka,imetolewa bilioni 100 ya relief package kwa fuel na bado mafuta yanapanda,ukijiuliza mikopo na madeni ni ya nini,hatujui na bado wanavizia kuiondoa NHIF wakati pesa watu wanakatwa waziri analia utafikiri pesa inayokatwa hawaipati,this is insane,tozo zote na bado miradi ni ya mikopo,sasa kwanini hatuvumi natungalipoBaadae atampigia mama simu amwambie asimuelewe vibaya, ameamua kujitokeza ili kuwazubaisha na kuwahadaa wadanganyika, baada ya malalamiko mengi juu ya ukimya wake.
Kumbuka huyo mzee familia yake imeteseka mahakamani kwa kesi ya hovyo,je ingekuwa wewe Binti yako akupigie magoti na mkeo aseme vipi baba unataka pesa au Mateso just imagine ungesemaje.Ni kuacha watu wapambane na hali yaoI dont believe in my fellow human again.
Nilianza na Dr. slaa, akasaliti kambi!
Siasa hasa z kiafrika sio za kuamini kwa 100%.
wakiwekewa dau mezani wanabadilika
Amn kitu kama hichoHii kauli ya Mbowe kwamba "nakwazika sana kuona wanakuwa waoga" inaonesha bado ana dhamira ya dhati kuleta mabadiliko nchi hii.
Kinachomkwamisha ni kukosekana kwa ushirikiano anaohitaji toka kwetu, tupo kama misukule kumbe naye anajua hilo, japo ameshindwa kulitumia hilo neno kwa heshima yake aliyonayo kwetu.
Naamini wale wajuaji wanaosema kila siku Mbowe amelamba asali ndio maana yupo kimya, sasa ni wakati wao kum-prove wrong Mbowe, simameni mhesabiwe kulinda haki zenu ili Mbowe awe pamoja nanyi.
Wanasiasa kawaida yao ni kutumia matatizo ya wananchi kama njia ya kuingia madarakani lakini wakishapata madaraka ndio wanaonesha rangi halisiSiamini tena CHADEMA kuanzia pale mulipomuuzia lowassa chama chenu, hadi kuwapoteza zitto na slaa, siasa za tz ni za ovyo sana. usimwamini mwanasiasa. amini nakuambia
Anapiga siasa tuu za kijinga,nani anaenunulia V8 pesa ya tozo?
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili.
Hizi hapa nukuu za Mbowe...
“Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga.
Kuna wakati nakwazika sana kwa kazi ninayofanya mnapokuwa waoga na hofu, halafu mnalalamika.
Hao wanaowatoza kodi hiyo wanakwenda kununua V8 ya Shilingi Milioni 450 au 500, mtu ambaye angekuwa nyumbani kwa mumewe au mkewe asingeweza kununua V8.
Lakini kwa kuwa kuna pesa ya Wajinga Watanzania wanaweza kununua gari la kumpa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Jaji kila mmoja.
Jiulizeni ni Wafanyabiashara wangapi ambao wana uwezo wa kuendesha magari mapya?
Magari mapya Nchi hii ni mali ya viongozi wa Serikali, na mnavyokaa kimya mambo haya ndiyo yanaendelea, mnatakiwa kuamka.
Kama mnataka kuibadilisa Nchi hii lazima tuache woga, lazima viongozi wa dini muongee.
Nilimwambia Rais Samia hii simulizi ya ‘amani’ ‘amani’ ‘amani’ ni kupoteza muda, simulizi sahihi ni haki haki haki.
Kuwepo na haki kwa watu wote litakuwa tafa bora la kuishi. Watanzania wameangalia uchaguzi wa Kenya kila mmoja ametamani, ulikuwa wa wazi hakuna mizengwe
Una akili ndogo kupitiliza!! Kaibuka kwani alijificha wapi? Kwa utopolo wako ulitaka awe anapayuka kama kiongozi WaLumumba!!Mbowe tena kaibuka! Mtu wa hovyo sana huyu jamaa.
Mwenye shibe ni ngumu kujua kwamba kuna wenye njaa
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili.
Hizi hapa nukuu za Mbowe...
“Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga.
Kuna wakati nakwazika sana kwa kazi ninayofanya mnapokuwa waoga na hofu, halafu mnalalamika.
Hao wanaowatoza kodi hiyo wanakwenda kununua V8 ya Shilingi Milioni 450 au 500, mtu ambaye angekuwa nyumbani kwa mumewe au mkewe asingeweza kununua V8.
Lakini kwa kuwa kuna pesa ya Wajinga Watanzania wanaweza kununua gari la kumpa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Jaji kila mmoja.
Jiulizeni ni Wafanyabiashara wangapi ambao wana uwezo wa kuendesha magari mapya?
Magari mapya Nchi hii ni mali ya viongozi wa Serikali, na mnavyokaa kimya mambo haya ndiyo yanaendelea, mnatakiwa kuamka.
Kama mnataka kuibadilisa Nchi hii lazima tuache woga, lazima viongozi wa dini muongee.
Nilimwambia Rais Samia hii simulizi ya ‘amani’ ‘amani’ ‘amani’ ni kupoteza muda, simulizi sahihi ni haki haki haki.
Kuwepo na haki kwa watu wote litakuwa tafa bora la kuishi. Watanzania wameangalia uchaguzi wa Kenya kila mmoja ametamani, ulikuwa wa wazi hakuna mizengwe
Unaongea theory gan wewe!.....Unataka Mbowe afanye nini ili umwamini.....Alichongew ni issue ya kwamba watu muamke mdai haki yenu....sasa kusema humwamini mpizani inatoka wapi!.I dont believe in my fellow human again.
Nilianza na Dr. slaa, akasaliti kambi!
Siasa hasa z kiafrika sio za kuamini kwa 100%.
wakiwekewa dau mezani wanabadilika
Anapiga siasa tuu za kijinga,nani anaenunulia V8 pesa ya tozo?
Alisha haribu baada ya kumshika mkono Lowasa, sasa haaminiki.Hii kauli ya Mbowe kwamba "nakwazika sana kuona wanakuwa waoga" inaonesha bado ana dhamira ya dhati kuleta mabadiliko nchi hii.
Kinachomkwamisha ni kukosekana kwa ushirikiano anaohitaji toka kwetu, tupo kama misukule kumbe naye anajua hilo, japo ameshindwa kulitumia hilo neno kwa heshima yake aliyonayo kwetu.
Naamini wale wajuaji wanaosema kila siku Mbowe amelamba asali ndio maana yupo kimya, sasa ni wakati wao kum-prove wrong Mbowe, simameni mhesabiwe kulinda haki zenu ili Mbowe awe pamoja nanyi.
Wakiandamana wakapigwa virungu risasi na kuuawa huwa mnawatukana na kuwaita vibaraka WA mabeberu ,Kweli mkuu
Na wachungaji/viongozi wa dini
Ninachofikiria Mimi nikuwa wananchi tumeacha kuamini wanasiasa na siyo kwamba sisi ni waoga. Kumbuka kipindi cha Dr. Slaà Maandamano yalikuwa daily. Lakini baada ya Babu wa Monduli chama kikàpoteza mwelekeo
Mabadiriki yatakuja ßiku tukiamua wenyewe
Ni ununuzi wa magari, matengenezo na mafuta Kwa pamoja....kuna taarifa zimetoka kwamba kila mwaka serikali hutumia billion 500 kununua magari mapya.
..billioni 500 ni gharama za ujenzi wa daraja kubwa kama la Kigongo-Busisi.