Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Baada ya kugundua kuwa tumeibiwa kura, je, tumechukua hatua gani? Tumebaki kulialia na kulalamika kwenye mitandao na kuwalaumu viongozi wa siasa.Tanzania imefika hapa kwasababu kura ya mwananchi haina thamani tena.Watawala wana uwezo wa kuiba kura jinsi watakavyo.
Wengi humu ni majasiri tukiwa nyuma ya keyboards basi. Zaidi ya hapo hakuna kitu.