Ipo kampuni Fulani nilifanya KAZI one month, Nikagundua kwamba kuna unyonyaji mkubwa, wafanyakazi hawalipwi stahiki zao, Wanafanya kazi kwenye Mazingira magumu, . And mwajiri haukuwa mtz ni mtasha till now, watu wanakalamika kimya kimya mjuba nikaamua nilianzishe , Nenda Uhamiaji, Vyama vya wafanyakazi ... Nikawapanga watu siku ya tukio hakuna aliyeonekana , uzuri nilikuwa ninao ushahidi wa maandishi na sauti , ikanisaidia , Hawakuoewa stahiki zao na like swala kiliishia pale pale, Mpaka sasa hivi Wanafanya KAZI humo na wanakalamika tuu kila siku.
I went too far nkatafuta namba za wahusika wakuu wapo huko SA fanya Mawasiliano nao nikaadress kila situation wanayopitia wafanyakazi , Kuulizwa wako kimya.. hawatoi ushirikiano..
I decided to halt the operation nkaendelea na hamsini zangu, Ifike Wakati tujitambuame na tutambue ni nini tunapambania , hakuna ugomvi Wala vita , Wala chili Ni kudai haki KWA amani, ..
Ni vigumu kumpambania mtu mnafuki /mjinga/Mwoga asiejua anataka nini leo kesho Na siku za usoni.
Watanzania Tuamke tudai haki .. nasema tena haki