Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza


Nyumbu hawezi kuzunguka dunia
 
Yanahusiana vipi Msigwa kuhama chama na Mbowe kushangilia kifo cha Magufuli! Mtu ukiumiza watu siku ukifa watu uliowaumiza lazima watashangilia tu,tuishi vyema hapa duniani tunapita tu.
Yaani ulivotimuliwa na vyeti feki ulitaka uendelee kutamba na kula jasho la wengine
 
Mimi nilkunywa sana na washikaji baada ya taarifa ya kifo cha DHALIMU. Ilikuwa ni bonge la sherehe, nyama choma kwa kwenda mbele
 
Na bado tunaendelea kushangilia kifo chake
 
chama cha kihuni
 
Una uhakika Na unachoongea?
 
Vipi kuhusu aliyeshangilia kifo cha jpm akasema " Mungu ameamua ugomvi"
 
Kama ni kweli aliposhangilia alirekodi, weka video hapa.
 
Chadema imefika wapi sasa?
Chadema ipo palepale, hakuna chsma chochote duniani kinachomtegemea mtu mmoja, Dr. Slaa alikuwa mgombea urais alitoka na chama kipo, Lowassa alikuwa mgombea urais alitoka chama kipo palepale, Sumaye alitika chama kipo palepale, ni mjinga tu asiyejua siasa hudhani chama ni mtu mmoja.
 

Kiko wapi?
 

Nyumbu wanajua kutumia tu hawajuagi vimetoka wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…