Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa na akili ungetafakari huo mfumo wa hovyo wa Magereza kushindwa kuwapa chakula mahabusu wakiwa mahakamani na kuwalaza na njaa hao mahabusu kwa miezi mitano. Lakini kwa kuwa umejaza funza kichwani unswarukia Chadema.Da chadema wana roho mbaya sana yaani mbwembwe zote zile kuwa Kila siku kunawasamalia wanaleta chakula mahakamani kume wanakul mashabuki tu atuhumiwa hawapewi? Mara walete keki yaani wana zambi sana wakiambiwa wmtoe wanakataa eti mwacheni tu mbwakabisa hawa
Serikali katili kupita kiasiMhe. Mbowe amenyoosha MKONO na kumwaleza Mhe. Jaji kwamba Wana miezi mitano bila kula chakula cha Mchana kwa maana nyingine kauli Hii inaonyesha watuhumiwa hawa wamekuwa wakishinda na kulala bila kula Kwa siku zote wanazoletwa mahakani huku mahakama ikishindwa japo
" Pale mwanzo tuliambiwa kuwa kama chakula tuchukue Kutoka Jela, tutoke nacho Jela tuje nacho Mahakamani, tkitoka hapa tunakutana Magereza
Tena huyu ni hatari kuliko hata jiweangekuwepo Jiwe angesukumiwa lawama, ukweli ni kwamba kijani wote ni makatili na hakuna mwenye unafuu ila tatizo watu wengi walimtupia ubaya mtu mmoja wakasahau kijani wote ni hovyo, Hangaya alikaribishwa kwa mbwembwe watu wakidhani ana afadhali
Mahakamani ni saa tatu asubuh means wanatoka magereza mapema zaidi. Ebu niambie huo ugali na maharage vitapikwa saa ngapitatizo hilo liko kwa kina Mbowe pekee wanapokuja mahakamani au ni kwa wafungwa wote?.
Kama Bwana jela ametoa option yakubeba take away wanapokuja mahakamani, shida iko wapi?,
Kwa wazoefu, mtuhumiwa anapokuwa mahakamani wakati wa break haruhusiwi kupewa chakula kutoka nje?...
Kwanini imepita miezi mitano linasemwa leo?
nakipindi chote cha kesi huwa tunaona watu wanabreak kwenda kula, Jaji na mawakili pande zote...
Nimeuliza maswali hayo kwa nia njema, tujadili bila siasa kwenye jambo hili..
Unyama mbaya snNimejikuta nalia
Mbowe anatetea mpaka wengine wasio na sauti wanaoteswa na huu mfumo mbovu nafuu ya mfumo wa kikoloniUngekuwa na akili ungetafakari huo mfumo wa hovyo wa Magereza kushindwa kuwapa chakula mahabusu wakiwa mahakamani na kuwalaza na njaa hao mahabusu kwa miezi mitano. Lakini kwa kuwa umejaza funza kichwani unswarukia Chadema.
Akili gani hizo ati serikali inapoteza zaidi .. yani Mwenyekiti wako ananyea debe unaongea mambo ya kupoteza ? wapi serikali inapoteza kwa mfano! halafu Mwenyekiti anazuga huwezi kusurvive mienzi mitano usile au mimi sijamuelewa hali kitu gani.Hasara anayopata yeye na nchi kwenye hili, serikali inapoteza zaidi kwenye hii kesi
Kula kwa bimkubwa kwa pelato ni kuramba ramba tu nyie makamanda kulialia.Maagizo ni wao kukomolewa
Kama Mbowe na umaarufu wake wote anafanyiwa hivyo, itakuwa hao watuhumiwa wengine? Kimsingi mifumo karibia yote ya kutoa haki inafanya kazi kikatili sana, na ni mambo yanafahamika kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu.
hujanijibu swali hata moja...
Kula kwa bimkubwa kwa pelato ni kuramba ramba tu nyie makamanda kulialia.
Ndio ivo Mwenyekiti shavu dodo lakini ananyima chakula cha mchana.Weka hiyo marking scheme pembeni utayaona majibu tofauti na uyatakayo.
Umeongea utoto gani hapa!?
mama anaupiga mwingiangekuwepo Jiwe angesukumiwa lawama, ukweli ni kwamba kijani wote ni makatili na hakuna mwenye unafuu ila tatizo watu wengi walimtupia ubaya mtu mmoja wakasahau kijani wote ni hovyo, Hangaya alikaribishwa kwa mbwembwe watu wakidhani ana afadhali