Mbowe: Tunanyimwa haki ya kupata mlo wa mchana na maji kwa miezi mitano sasa

Ungekuwa wewe njaa kali ungeshapoteza rinda bladfaken
 
Ungekuwa na akili ungetafakari huo mfumo wa hovyo wa Magereza kushindwa kuwapa chakula mahabusu wakiwa mahakamani na kuwalaza na njaa hao mahabusu kwa miezi mitano. Lakini kwa kuwa umejaza funza kichwani unswarukia Chadema.
 
Serikali katili kupita kiasi
 
angekuwepo Jiwe angesukumiwa lawama, ukweli ni kwamba kijani wote ni makatili na hakuna mwenye unafuu ila tatizo watu wengi walimtupia ubaya mtu mmoja wakasahau kijani wote ni hovyo, Hangaya alikaribishwa kwa mbwembwe watu wakidhani ana afadhali
Tena huyu ni hatari kuliko hata jiwe
 
Mahakamani ni saa tatu asubuh means wanatoka magereza mapema zaidi. Ebu niambie huo ugali na maharage vitapikwa saa ngapi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa na akili ungetafakari huo mfumo wa hovyo wa Magereza kushindwa kuwapa chakula mahabusu wakiwa mahakamani na kuwalaza na njaa hao mahabusu kwa miezi mitano. Lakini kwa kuwa umejaza funza kichwani unswarukia Chadema.
Mbowe anatetea mpaka wengine wasio na sauti wanaoteswa na huu mfumo mbovu nafuu ya mfumo wa kikoloni
 
Ila wengine wasio kula na kunywa wana afya nzuriiiii mmmh
 
Hasara anayopata yeye na nchi kwenye hili, serikali inapoteza zaidi kwenye hii kesi
Akili gani hizo ati serikali inapoteza zaidi .. yani Mwenyekiti wako ananyea debe unaongea mambo ya kupoteza ? wapi serikali inapoteza kwa mfano! halafu Mwenyekiti anazuga huwezi kusurvive mienzi mitano usile au mimi sijamuelewa hali kitu gani.
 
Maagizo ni wao kukomolewa

Kama Mbowe na umaarufu wake wote anafanyiwa hivyo, itakuwa hao watuhumiwa wengine? Kimsingi mifumo karibia yote ya kutoa haki inafanya kazi kikatili sana, na ni mambo yanafahamika kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kula kwa bimkubwa kwa pelato ni kuramba ramba tu nyie makamanda kulialia.
 
Weka hiyo marking scheme pembeni utayaona majibu tofauti na uyatakayo.

Umeongea utoto gani hapa!?
Ndio ivo Mwenyekiti shavu dodo lakini ananyima chakula cha mchana.
 
angekuwepo Jiwe angesukumiwa lawama, ukweli ni kwamba kijani wote ni makatili na hakuna mwenye unafuu ila tatizo watu wengi walimtupia ubaya mtu mmoja wakasahau kijani wote ni hovyo, Hangaya alikaribishwa kwa mbwembwe watu wakidhani ana afadhali
mama anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…