CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Hiyo historia tunaifahamu labda wafundishe watoto wenzako huko CCM.Watoto wadogo na washamba ndio mnamhusisha Mbowe na pesa za Abdul. Kwa taarifa yako Mbowe ni tajiri tangu Mwalimu Nyerere anafundisha Pugu Sekondari! Nini Abdul! Ahahahahaha!!!
Haahaa hizo ndo sera zake za kutaka uongozi? Mbowe akili zimepotelea wapi? Amwage sera asilielieMbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
Kwa hyo alitaka asipingwe kwenye uongozi? Watakao amua ni wajumbe wa mkutano mkuuLissu Hana shukran!
..haahaa akili za Lumumba hiziKwa akili yako, Lissu kugombea uenyekiti ni usaliti?
Mbowe kigeugeu, aliwaambia viongozi wa dini yeye hagombei, Kisha kumzuia lissu asitangaze Nia.Nashangaa,kwani aliombwa ?
Sasa kwa ushamba wako ukamtaja Abdul.Hiyo historia tunaifahamu labda wafundishe watoto wenzako huko CCM.
Hata Lisu akipata huu uongozi utamtesa,alipaswa kuweka akiba ya maneno,leo anasema biashara za Mbowe hazina TIN kumbe alikuwa anatumia magari ya mtu asiye na TIN.Kama anamfanyia hivyo Mbowe wasio na uwezo itakuwaje!!?Lissu ana damu ya usaliti ukiangalia wema aliofanyiwa na Mbowe huwezi kutegemea angemkgeuka na kumtusi namna hii kisa madaraka.
Lissu wakati unafundishwa siasa hao kina Maria Sarungi walikuwa wapi?
Wakati unapewa nauli za ndege naembowe ukuwe kisiasa hao diaspora walikuwa wapi?
Wakati umepigwa risasi nani alikuepusha kwenda muhimbili kama sio Mbowe?
Lissu ni msaliti na hafai kuongoza taifa kama Tanzania wala chama kama chadema.
So whatMbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
Kama ulimpa nyumba, gari haijalishi. You must go. Kwa hiyo ulimpa hivyo vyote kama rushwa ili asigombee nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa?
Ni aibu sana Chama kinachotafuta dola kuongozwa na Disco Joker, tena mlevi, aliefeli form four? These people are not serious!.
Wakati ni ukuta, demokrasia ya ukweli ni kuachiana viti sio kulazimisha kuwa kiongozi, the big boss must go aache kulia lia, aje kijana alete changamoto mpya japo ana ulemavu!!
However, DJ akiweza kung'oka tafadhali mnitag!! Ni ngumu mno. Ni rahisi kijana kupita kwenye tundu la sindano kuliko kushinda hicho kiti cha m/kiti wa maisha wa ukoo. The boss can't let it go kirahisi itakuwa Vita kubwa na figisu kama zote nje na ndani ya uwanja!!
Lissu Hana shukran!
Upo sahihi sana ndugu Gautten Potten .Ni Kama anaweka zuio kistaarabu ili zisije kuvuja zaidi.
Kuna waziri aliwahi kuhonga nyumba ya serikali kwa hawara yake.Hiyo nyumba aliyompatia ndio pale lissu aliposhambuliwa!? Manake nakumbuka lissu amewahi kusema kwamba yeye kama mnadhimu Mkuu wa Upinzani alikua pia anastahili kupatiwa nyumba na serikali. Na kama Kweli mbowe alimpatia Nyumba yake aliyopewa na Serikali na lissu akaishi pale for five years, basi naamini hii nchi ina tatizo mahali... hivi Bunge au serikali inawezaje kuacha Mali za umma zitumike kiholela hivyo!? Kumbe ata Makonda pale Arusha anaweza akaamua nyumba yake ya RC amwachie ndugu au rafiki yake aishi na yeye akaenda kukaa kwake njiro na serikali ikaona ni sawa tuu!?... System ya G.O.T itakua ina loopholes nyingi sana.. nahisi kuna mambo mengi yanafanyika nchii hii ya ajabu sana...ukimsikiliza kwa umakini Mbowe ndio utajua hii NCHi ni Ngumu na rahisi sana kwa wakati mmoja.
So shallow.Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
Pesa haijawahi kutosha hata siku moja, tena sana sana kwa mwenye fedha nyingi sana.Watoto wadogo na washamba ndio mnamhusisha Mbowe na pesa za Abdul. Kwa taarifa yako Mbowe ni tajiri tangu Mwalimu Nyerere anafundisha Pugu Sekondari! Nini Abdul! Ahahahahaha!!!
Miaka mingapi itamtosha kuwa mwenyekiti wa Chadema ? Hawezi kurithisha madaraka kwa amani ?Mbowe ana mengi dhidi ya Lissu na akiamua kufunguka, Lissu atarudi Ubeleji na kwenye uchaguzi hatakuwepo.