Pre GE2025 Mbowe: Uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA nilimpa gari yangu akafanyie kampeni. Nyumba ya Dodoma nilipewa na Serikali, nikampa yeye

Pre GE2025 Mbowe: Uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA nilimpa gari yangu akafanyie kampeni. Nyumba ya Dodoma nilipewa na Serikali, nikampa yeye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe anatia aibuu kabisaa hawezi kujitofautisha na akina m7 lipumba cheyo kagame hivi hizi ni zarau au nini??yaani nawatahadhalisha wajumbe chadema fanyeni tulichowatuma huyu fisadi apumzike.
 
Kwahiyo kama alimsaidia sisi inatusaidia nini. Yeye mbowe mpaka hapo alipo hajawahi kusaidiwa? Angestaafu kwa heshima tu ila kuendelea kubwabwaja ni kuzidi kuchafua sifa yake na ya chama
 
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.

View attachment 3194386
Watu wengi hawawezi kuelewa tabia ya Lissu muda utaongea.
 
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.

View attachment 3194386
Kwa hiyo yeye hana sera? Nilidhani angetumia mahojiano hayo kujielekeza zaidi kwenye nini atafanya na kwanini anadhani bado anastahili kuongozwa, matokeo yake kila nnachokisikia kutoka kwake ni nongwa na nyongo baada ya Lissu kuchukua form.

Anaharibu ile heshia ambayo watu waichagua kumtunzia
 
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA
Kwani hivi sasa yuko chama gani?
Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
Lengo likiwa nini?
 
Hata kama ameamua kugombea uenyekiti angefanya hivyo kwa staha na siyo kushusha heshima ya Mbowe.
Lissu ni wa kusema hajui biashara za Mbowe?

Wakati JPM alipoharibu biashara za Mbowe kwa kuvunja Billicana, shamba la Organic farm kule Kilimanjaro kwa kumtumia yule DC, nakum.buka Lissu aliandika makala ndefu akieleza jinsi Mbowe anavyoshambuliwa biashara zake kwa kuwa tu upinzani na alitetea utajiri wa Mbowe ni wa tangu enzi za baba yake.
 
Lissu ana damu ya usaliti ukiangalia wema aliofanyiwa na Mbowe huwezi kutegemea angemkgeuka na kumtusi namna hii kisa madaraka.

Lissu wakati unafundishwa siasa hao kina Maria Sarungi walikuwa wapi?

Wakati unapewa nauli za ndege naembowe ukuwe kisiasa hao diaspora walikuwa wapi?

Wakati umepigwa risasi nani alikuepusha kwenda muhimbili kama sio Mbowe?

Lissu ni msaliti na hafai kuongoza taifa kama Tanzania wala chama kama chadema.
Nyumbu wa Sultan Mbowe Lissu amewapalia mnakohoa hadi mnajamba dadeq. Lissu Mwenyekiti ajaye Chadema
 
Back
Top Bottom