milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Lissu Hana shukran!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ataua mtu 🤣🤣🤣👇👇👇Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
Kiti Cha Mwenyekiti kimeguswa.Lissu Hana shukran!
Kama sio magufuli,hata hicho cheo ulichonacho usingekipataKiti Cha Mwenyekiti kimeguswa.
Mbowe na Magufuli bichwa vibovu 😂😂
Mbowe must goMbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
Sina Cheo chochote Wala huyo mtu wako hana umuhimu wowote kwangu na sijawahi kuwa mfuasi wa watu dizaini ya Lisu au MaguKama sio magufuli,hata hicho cheo ulichonacho usingekipata
Watu wengi hawawezi kuelewa tabia ya Lissu muda utaongea.Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
Kwa hiyo yeye hana sera? Nilidhani angetumia mahojiano hayo kujielekeza zaidi kwenye nini atafanya na kwanini anadhani bado anastahili kuongozwa, matokeo yake kila nnachokisikia kutoka kwake ni nongwa na nyongo baada ya Lissu kuchukua form.Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
A good dancer knows when to leave the stage.Inatosha, ni wakati wa kuondoka kwenye jukwaa, hata ucheze vizuri namna gani, ukifika wakati unamuachia na mwenzako aonyeshe mambo yake.
Kwani hivi sasa yuko chama gani?Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA
Lengo likiwa nini?Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
Nyumbu wa Sultan Mbowe Lissu amewapalia mnakohoa hadi mnajamba dadeq. Lissu Mwenyekiti ajaye ChademaLissu ana damu ya usaliti ukiangalia wema aliofanyiwa na Mbowe huwezi kutegemea angemkgeuka na kumtusi namna hii kisa madaraka.
Lissu wakati unafundishwa siasa hao kina Maria Sarungi walikuwa wapi?
Wakati unapewa nauli za ndege naembowe ukuwe kisiasa hao diaspora walikuwa wapi?
Wakati umepigwa risasi nani alikuepusha kwenda muhimbili kama sio Mbowe?
Lissu ni msaliti na hafai kuongoza taifa kama Tanzania wala chama kama chadema.
Tatizo Lissu kajazwa upepo na maria baada ya kuchangisha gariYote haya ni Lissu kuchukua form ya kugombea uenyekiti,haya ngoja tusubiri Lissu naye afunguke yake hadi hiyo 21 January tutasikia mengi sana. Mbowe anajua kuchamba kama mzaramo vile.
Na wewe tuondolee upuuzi wako hapa unamuona Lissu ni taahira kama wewe hawezi kujiamulia,una usenge mwingi sana Malaria suguTatizo Lissu kajazwa upepo na maria baada ya kuchangisha gari
Matisi ya nini? Lissu kapotezwa na maria baada ya mchango wa gariNa wewe tuondolee upuuzi wako hapa unamuona Lissu ni taahira kama wewe hawezi kujiamulia,una usenge mwingi sana Malaria sugu