Pre GE2025 Mbowe: Uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA nilimpa gari yangu akafanyie kampeni. Nyumba ya Dodoma nilipewa na Serikali, nikampa yeye

Pre GE2025 Mbowe: Uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA nilimpa gari yangu akafanyie kampeni. Nyumba ya Dodoma nilipewa na Serikali, nikampa yeye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna waziri aliwahi kuhonga nyumba ya serikali kwa hawara yake.

Kuna waziri aliwahi gonga gari ya serikali (gari ya waziri) ikiwa na namba binafsi akiwa anaendesha yeye na pembeni amekaa kimada wake.

Tanzania kila kitu kinawezekana.
Mi nadhan kuna umuhimu mkubwa wa kupitia upya Mkataba Kati ya wananchi na watawala/serikali...nina wasi wasi kwamba si wananchi wala watawala wanaojua ni nini kinatakiwa kufanyika katika Mkataba uliopo... haiwezekani kukawa na abuse kubwa ya kiwango hiki na bado sijawahi kusikia kuna mtu kaadhibiwa na Mahakama zetu kwa kukiuka Mkataba...na cha kusikitisha zaidi ni ukimya wa wenye NCHi Yao as if kila kitu Kiko SAwa kabisa.
 
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.

View attachment 3194386
Hiyo nyumba ya Dodoma alipewa na serikali kama nani?
 
Ukomo wa madaraka kwanza.
Na hapo ndo inatupa mashaka sana kama kweli hakihujumu chama.
Hivyo na eye anataka kuwa kama kina DOVUTWA
 
Mnyonge mnyongeni lakini Hali Zake mpeni Mr MBOWE hakutaka kuyaweka haya yote wazo lakini amelaZimika kuyaweka adharani baada ya lissu kumtuhumu mambo ya uongo lengo la MBOWE anataka watu wamfahamu lissu namna alivyo
 
Pesa haijawahi kutosha hata siku moja, tena sana sana kwa mwenye fedha nyingi sana.

Ukishakuw tajiri, kila fursa unayoiona na kuipata ya kutengeneza shilingi kumi, utaitumia vyema hiyo fursa, sembuse fursa ya kupata fedha za bure ambazo ni kodi ya Watanzania!!
Wewe ni tajiri? Au unaongea theoretically? Kama ni theoretically kwa maana sio tajiri, basi sawa, nimekuelewa.
 
Miaka mingapi itamtosha kuwa mwenyekiti wa Chadema ? Hawezi kurithisha madaraka kwa amani ?
Tatizo la wapiga kelele wa Lissu kama wewe ni kukosa uwezo wa kufikiri. Mngelikuwa na uwezo huo, mngelijiuliza kwanini Chadema iliondoa ukomo wa Mwenyekiti mwaka 2014? Na kwanini leo mkiongozwa na Lissu aliyekuwa msimamizi wa kuondoa ukomo huo leo mnalialia? Je, wewe unaweza kulijibu hilo?
 
Tatizo la wapiga kelele wa Lissu kama wewe ni kukosa uwezo wa kufikiri. Mngelikuwa na uwezo huo, mngelijiuliza kwanini Chadema iliondoa ukomo wa Mwenyekiti mwaka 2014? Na kwanini leo mkiongozwa na Lissu aliyekuwa msimamizi wa kuondoa ukomo huo leo mnalialia? Je, wewe unaweza kulijibu hilo?
Kumbe waliweza kuondoa ukomo. Pia wanaweza kuweka ukomo. Katiba ni yao na utaratibu ni wao. Tuwasubiri tuone
 
Mchaga anawaza vitu tu,Makonda alikuwa sahihi kuhusu Reginald Mengi pale msibani though Mbowe aliibuka kwa jazba kumponda.

Nyerere na wenzie wangekuwa na akili hizi,hadi leo tungekuwa chini ya mkoloni.

Nyerere kasomeshwa na mkoloni huyo aliyemuanzishia harakati atoke.

CCM haiwezi kuondolewa madarakani na mtu anayethamini vitu,watakutajirisha tu ukae kimya.
 
Back
Top Bottom