Mi nadhan kuna umuhimu mkubwa wa kupitia upya Mkataba Kati ya wananchi na watawala/serikali...nina wasi wasi kwamba si wananchi wala watawala wanaojua ni nini kinatakiwa kufanyika katika Mkataba uliopo... haiwezekani kukawa na abuse kubwa ya kiwango hiki na bado sijawahi kusikia kuna mtu kaadhibiwa na Mahakama zetu kwa kukiuka Mkataba...na cha kusikitisha zaidi ni ukimya wa wenye NCHi Yao as if kila kitu Kiko SAwa kabisa.Kuna waziri aliwahi kuhonga nyumba ya serikali kwa hawara yake.
Kuna waziri aliwahi gonga gari ya serikali (gari ya waziri) ikiwa na namba binafsi akiwa anaendesha yeye na pembeni amekaa kimada wake.
Tanzania kila kitu kinawezekana.