Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Acha kuita watu washamba.Ukiulizwa swali,tuliza kiuno,jibu.Kwani Lisu alikosa nini hadi amiminiwe risasi vile? Wacha ushamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuita watu washamba.Ukiulizwa swali,tuliza kiuno,jibu.Kwani Lisu alikosa nini hadi amiminiwe risasi vile? Wacha ushamba.
Akina mbowe walikuwa wanataka hata yule mbunge aliyeshinda jimboni nkasi nae asiende bungeni, hii sio sawa kwakuwa tangu uchaguzi wa 1995 hadi wa 2020 malalamiko ya upinzani ni kuibiwa kura na tume lakini wabunge hawajawahi kuacha kwenda bungeni, labda tofauti pekee kwa uchaguzi wa 2020 ni wanaume wote wakiwemo Mbowe, Sugu, Msigwa, Joseph, nk hawakutangazwa kushinda uchaguzi. Labda hii ndiyo sababu ya chadema kusema hakuna mbunge kwenda bungeni safari hii. Ubinafsi.Sijaelewa hii kauli ya kukataa matokeo ya uchaguzi kwasababu hayakuwa halali
Mbona yule mbunge mmoja anahudhuria kama kawaida bungeni na hajachukuliwa hatua
Au kulikuwa na chaguzi mbili tofauti.
Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao. Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge haio wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta masuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake. Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwwnda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe. Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea. Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge.

Huwezi kumtenganisha mama Samia na urais wa nchi hata kama akienda kwenye sherehe ya kitchen party ya rafiki yake. Huwezi kumtenganisha Mbowe na chadema hata kama Yuko gerezani, Hana jambo lake binafsi kama chairperson wa Chama.Kwani kule mahabusu kiliwekwa ndani Chama au Mbowe??? Mbowe alikwenda Ikulu akitokea wapi? Nyumbani au Magereza??? Na je kuna ushahidi wowote unaonesha kwamba Mbowe aliomba msamaha kwa mama? Ukijibu hayo maswali hata wewe utajidharau kwa maandishi yako mwenyewe
Chadema ni Mbowe na hakuna demokrasia ndani ya Chadema, analoamua Mbowe ndo hutekelezwaAkina mdee wamekikosea chama na sio wamemkosea mbowe. Msamaha wao utatolewa na chama na sio mbowe
Kikubwa ni Mbowe kuwa huru kuungana na watanzania wenzake na familia yake, hizo details hatuna haja nazo sisi. Lakini picha kubwa ni kwamba mama Samia ameruhusu mbowe atoke mahabusu iwe alikatamwa kimakosa au kihalali.Ulis
Ulisikia mama alichosema Jana, hakuna aliyemuumba radhi mwenzake.
Kwani hizo nafasi 19 zingebaki wazi kama wangesusia kwenda bungeni? Pili akina Halima wanalitumikia bunge na michango Yao bungeni tunaisikia wakichangia. Unaposema wanakula Kodi bure inaonekana huna uelewa wa kutosha.C19 wamevuliwa ubunge na wanakula kodi za wananchi bure, halafu wewe wasema wasamehewe..... seriously
Kwa hiyo unaamini Mbowe kasamehewa,na wale waliokutwa na bastora na madawa ya kulevya wamesamehewa kwa malahi mapana? Aaaaaiiiseee 🤐. Kwa hiyo unaamini wale Makomando walinunuliwa na Kingai chips kuku na energy ya Mo walipokuwa safarini kutoka Moshi kwenda Dar😀😀😀Mbowe alitokaje mahabusu? Utaratibu ulifuatwa? Kumbukwa siku chache TU zilizopita alikutwa na kesi ya kujibu lakini ghafla serikali ikaachana na kesi. Unapotaka kujenga umoja na amani kanuni na Sheria zinawekwa pembeni na kuanza upya kwa kutanguliza maslahi mapana.
Nimekuwekea maswali 4 makusudi na nilijua ulivyo mbulula utajibu moja tu, umeingia king vizuri kabisa.Huwezi kumtenganisha mama Samia na urais wa nchi hata kama akienda kwenye sherehe ya kitchen party ya rafiki yake. Huwezi kumtenganisha Mbowe na chadema hata kama Yuko gerezani, Hana jambo lake binafsi kama chairperson wa Chama.
Futa sasa kauli yako ya kuwa Mbowe amesamehewaKikubwa ni Mbowe kuwa huru kuungana na watanzania wenzake na familia yake, hizo details hatuna haja nazo sisi. Lakini picha kubwa ni kwamba mama Samia ameruhusu mbowe atoke mahabusu iwe alikatamwa kimakosa au kihalali.
Je ulimusikia Rais? Alikiri kuwa hakuna aliyeomba msamaha.Aaaa bhana tuache ushamba, kwa mwendazake asingetoka. Kwa mama hata wale masheikh wa uamsho waliokaa miaka 8 mahabusu wametoka.
Kwanza Mbowe hajamkosea Rais hadi useme Rais amemsamehe,amsamehe kwa kosa lipi? Pili Halima na genge lake hawakumkosea Mbowe bali walikisaliti chama, hivyo hoja zako ni muflisi,ni propaganda chafu tu za CCM kutaka kuleta hali ya sintofahamu ndani ya Chadema. Please leave us alone.Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao. Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM.
Kuwafukuza wabunge haio wanawake kutoka bungeni hakuijengi chadema bali kutaleta masuko ndani ya chama, na kuonyesha namna chadema isivyokuwa na hekima ya kusamehe, kufikiria na kuona heshima za wanawake. Maana Kuna watu wengi wanaoamini kuwa mbowe na wenzake Kuna watu wao walipenda ndio wangekwwnda bungeni kwa maslahi Yao, wako watu wanaoamini kuwa kama Mbowe, sugu, msigwa, heche na Prof Jay kama wangeshinda ubunge kwenye majimbo Yao chadema isingesusia bunge.
Mbowe usitangulize Sheria kwenye hili tangulizeni ukurasa mpya unaokiunganisha Chama badala ya kukipasua kizembe. Adui wa chadema sio akina Mdee bali tume ya uchaguzi na katiba ambayo ni chanzo kikuu Cha kilichotokea 2020.
Kudai Katiba hata akina Mdee wanahitajika, tumia hekima na busara zaidi kuliko Sheria, kanuni, taratibu na mazoea. Wacha waendelee wamalize kipindi Cha ubunge hadi 2025. Onyesheni ukomavu waonyeni ndani kwa ndani ndani ya chama badala ya kutumia majukwaa.
Your common enemy is tume na maagizo ya viongozi wa serikali na bunge.
Nadhan kama hawatambui uchaguzi wa 2020 ni vizuri pia hata yule mbunge asitambuliwe piaAkina mbowe walikuwa wanataka hata yule mbunge aliyeshinda jimboni nkasi nae asiende bungeni, hii sio sawa kwakuwa tangu uchaguzi wa 1995 hadi wa 2020 malalamiko ya upinzani ni kuibiwa kura na tume lakini wabunge hawajawahi kuacha kwenda bungeni, labda tofauti pekee kwa uchaguzi wa 2020 ni wanaume wote wakiwemo Mbowe, Sugu, Msigwa, Joseph, nk hawakutangazwa kushinda uchaguzi. Labda hii ndiyo sababu ya chadema kusema hakuna mbunge kwenda bungeni safari hii. Ubinafsi.
Sifuti kauli, hata Babu Seya inaaminika kuwa alifungwa kimakosa lakini Rais JPM alimsamehe. Hata Mbowe angeweza kufungwa kimakosa na akaja Rais akamsamehe. Mama kaupiga mwingi Kwenye hili,Futa sasa kauli yako ya kuwa Mbowe amesamehewa
Kaka kazi ya kwanza waliyonayo chadema ni kuyatambua matokeo ya uchaguzi 2020Nadhan kama hawatambui uchaguzi wa 2020 ni vizuri pia hata yule mbunge asitambuliwe pia
Maana kumtambua yule mmoja ni sawa a kukinzana na maneno yao wenyewe juu ya uchaguzi mkuu uliopita
Na hapa ndio ninapoona tofauti ya siasa za Tanzania na nchi zingine waliotuzidi ukomavu wa kisiasa
Huwezi kupinga uchaguzi kwa kukataa wabunge 19 wasiende bungeni ila ukakubali mmoja aende bungeni
Huo utakuwa ni unafiki na kuwapeleka wafuasi wasiojielewa
Kama wamekubali mbunge mmoja aingie bungeni ni sawa na kuukubali uchaguzi wa 2020.